Hivi anakuzidi kweli? Umeshaambiwa ni mapambano kwanza ya waliokatwa warudishwe ndio mengine yaendelee..muwe mnasikiliza kwa makiniIla sikuwahi kufahamu uelewa wa Lisu nje ya sheria ni mtupu hivi
Mkuu mkutano hauko huku kwenye magari,mkutano upo kule jukwaa kuu.huku kwenye magari wapo police na sisi wengine tunaoamini kuwa corona bado ipo.Piga picha yako kwenda jukwaa kuu na siyo hii ya kuelekea tulikopaki magari yetu
Wasiporudishwa inakuwaje?Hivi anakuzidi kweli? Umeshaambiwa ni mapambano kwanza ya waliokatwa warudishwe ndio mengine yaendelee..muwe mnasikiliza kwa makini
Nimeipost leoHii ni ya leo?
Mbona hii toka jana ipo humu?
Ya leo iko wapi?
Kuwa na subra utajuaWasiporudishwa inakuwaje?
Wewe upo kaburini aisee.Kiukweli Membe ni presidential material kuliko mbowe
Kwa hiyo kampeni bado hamjaanza?Hivi anakuzidi kweli? Umeshaambiwa ni mapambano kwanza ya waliokatwa warudishwe ndio mengine yaendelee..muwe mnasikiliza kwa makini
Mkuu asante sana. Hii ianzishie thread ili mataga wapate pa kujifunzia!!Kwa sera anazomwaga Tundu Lissu usipompa kura utakua na lako
1: maendeleo ya watu.
Wote waliodhurumiwa na kuvunjiwa sehemu za makazi bila compassion watafidiwa
2: Atakuza uchumi na shughuri za maendeleo kwa kupunguza utitiri wa kodi
Toka 15% hadi 1% , ambayo Ni 10%ya bizaa ulizoagiza.
3: Wafanyakazi kutoongezewa mshahara itakuwa mwiko- ataanza kwa kufidia miaka 5 ambayo hawajaongezewa Mshahara .
Watumishi waliofukuzwa kazi kwa sababu zisizo na mashiko itaangaliwa namna ya kuwafidia.
Mafao ya kustaafu yatalipwa kwa wakati
4: Ataboresha kwa kuongeza wigo wa mikopo ya wanafunzi wa chuo kikuu. Pia ataondoa ongezeko la 15% la marejesho ya mikopo kwa wanufaika
Bado anatema cheche.....
Kwa hiyo kampeni bado hamjaanza?
Huwa siwezi bishana na wewe maana kwa vyovyote Dish lako limeyumba kama alijaribu yumba usingeweza danganya!Hata hii jana mlisema ni mchana, picha ilikuwa live jioni TBC, angalia vivuli vinaonesha jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano. View attachment 1552016