Private Investigators
New Member
- Aug 18, 2020
- 3
- 57
Ukiangalia nembo kwenye hiyo picha utagundua kuna lengo hasi. Yaani ni propaganda ya TBC dhidi ya upinzani.Sasa hiyo mnakuwa mnawatenga wa nyuma hawaonekani mkuu, mmechukuwa tu wa mbele na anga kana kwamba wanaenda mbinguni, wekeni aerial view inayoonesha washiriki wote kabisa.. vivuli vinaonesha kabisa jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano mkuu. View attachment 1551691
Yote yanamguso ktk jamii ..hongera chadema na mungu ibariki chadema, Asanteni na usiku mwemaHii kauli mbiu ni very touching, kwa Watanzania walioteseka kwa miaka mitano, lazima kuna jambo angalau moja litakugusa. Kama sio kunyimwa uhuru, basi haki, kama sio haki basi ni kuvurugiwa mipango yako ya maendeleo.
PI
CCM mtatapika damu mwaka huu!! Watanzania wanazidi kuzikubali Sera za Lissu tu!!Nimemsikiliza lissu leo kawe na kupata hakika jinsi gani yeye binafsi kwa kuitumia chadema anataka kurejesha sera za kibwanyenye nchini ambapo wenye nacho wanazidi kupata na wavuja jasho wanazidi kua maskini. Lissu ni mtu kwa hisia za kutukuza wazungu anakua kibaraka kirahisi. Mabeberu kwa kisingizio cha uhuru wa binadamu na demokrasia wanataka kurejesha hali ambayo ccm baada ya kutoka kwenye misingi yake ilifikisha taifa mahali pabaya...
Wenye Akili watampuuza mleta mada kwani alivyoviandika ni propaganda za kishamba sanaWenye akili ndogo bado hawatakuelewa mkuu mtoa mada
Utakuta hapo ulipo uko na matatizo kibao na source ya umaskini wako unaijua ila unaendelea kuhubiri upuuziNimemsikiliza lissu leo kawe na kupata hakika jinsi gani yeye binafsi kwa kuitumia chadema anataka kurejesha sera za kibwanyenye nchini ambapo wenye nacho wanazidi kupata na wavuja jasho wanazidi kua maskini. Lissu ni mtu kwa hisia za kutukuza wazungu anakua kibaraka kirahisi. Mabeberu kwa kisingizio cha uhuru wa binadamu na demokrasia wanataka kurejesha hali ambayo ccm baada ya kutoka kwenye misingi yake ilifikisha taifa mahali pabaya... hali ya kuwepo rushwa iliyokithiri ambapo kunakua na ulegevu mkubwa wa kufuatwa sheria zenye kulinda maslahi ya kiuchumi wa taifa...
Safari hii lazima mlale na viatu kwa uchovu mnaopewa na chadema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .. lissu anatesa eee.Nimemsikiliza lissu leo kawe na kupata hakika jinsi gani yeye binafsi kwa kuitumia chadema anataka kurejesha sera za kibwanyenye nchini ambapo wenye nacho wanazidi kupata na wavuja jasho wanazidi kua maskini. Lissu ni mtu kwa hisia za kutukuza wazungu anakua kibaraka kirahisi. Mabeberu kwa kisingizio cha uhuru wa binadamu na demokrasia wanataka kurejesha hali ambayo ccm baada ya kutoka kwenye misingi yake ilifikisha taifa mahali pabaya...
CCM ni wakoloni weusi ni makaburu weusi Nchi inabidi kudai Uhuru upya kwana ilivyokuwa mwaka 1961ccm vibaraka wa madikteta mnakandamiza uhuru na haki kwa kisingizio cha maendeleo ya vitu.
Lissu leo katest mitambo wameanza kujambajamba.Lazima mwaka huu CCM waseme kwanini hawajatuongezea mishahara miaka 5, kwanini wamekiuka mkataba wa bodi ya mikopo.Kwanini wanajiingiza kwenye biashara badala ya sekta binafsiCCM mtatapika damu mwaka huu!! Watanzania wanazidi kuzikubali Sera za Lissu tu!!
Mkuu hilo tukio lilikuwa live TBC, kama hukuangalia utatilia shaka hiyo picha, hizo ndo picha za mwishomwisho wakati Mbowe akitoa povu muda mchache kabla Lissu hajasimama, ilikuwa unaelekea kumi na mbili.Ukiangalia nembo kwenye hiyo picha utagundua kuna lengo hasi. Yaani ni propaganda ya TBC dhidi ya upinzani.
" vivuli vinaonesha kabisa jua likielekea kuzama"....
subiri muone mambo Siku Gwajimasssss & JPMRais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi...
Tukutane october, wacheni usanii [emoji116]Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi.
=====
LIVE FEED:
MBOWE: HATUOGOPI TBC WALA SERIKALI. TBC WAKIJITAFAKARI TUPO TAYARI KUWASAMEHE
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiwa katika Kampeni za CHADEMA, Kawe Jijini Dar amesema jana katika Mkutano wao wa Mbagala waliwataka TBC kuondoka, jambo lililopokelewa vema na Watanzania wengi husasan wale wanaopenda Uandishi wa Habari wa haki
Amesema, "Napenda niwaambie Wanahabari wote, Chama chetu kinaamini katika Uhuru wa Habari, kinamini katika Uandishi wa Habari unaofanywa kwa Weledi, usio na upendeleo"
Amesisita, "Chombo chochote kinachotaka kutoa taarifa zetu, tunakiruhusu, tunakikaribisha, tutashirikiana nacho lakini kitoe taarifa za ukweli bila upendeleo bila ushabiki"
Ameongeza, "TBC wametoa tamko. Wanasema taarifa wametoa Polisi, sisi taarifa tumetoa kwa Mungu. Tunapenda kuwambia TBC, Polisi imekuwa sehemu ya maisha yetu wala hatutishwi na mtu kwenda Polisi kutushtaki"
Amesema TBC wajitafakari na wakiona wapo tayari kufanya kazi kwa uadilifu, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe ila sio kutishana kwa sababu wao hawaiogopi TBC wals Serikali ila wanawaheshimu wote na taaluma ya habari