Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Nimemsikiliza lissu leo kawe na kupata hakika jinsi gani yeye binafsi kwa kuitumia chadema anataka kurejesha sera za kibwanyenye nchini ambapo wenye nacho wanazidi kupata na wavuja jasho wanazidi kua maskini. Lissu ni mtu kwa hisia za kutukuza wazungu anakua kibaraka kirahisi. Mabeberu kwa kisingizio cha uhuru wa binadamu na demokrasia wanataka kurejesha hali ambayo ccm baada ya kutoka kwenye misingi yake ilifikisha taifa mahali pabaya... hali ya kuwepo rushwa iliyokithiri ambapo kunakua na ulegevu mkubwa wa kufuatwa sheria zenye kulinda maslahi ya kiuchumi wa taifa.

Kwa miaka mitano ya magufuli ameweza kukirejesha chama cha mapinduzi kwenye misingi yake kiitikadi. Jambo hili limekua kilio kwa ubeberu na mabepari uchwara nchini ambao wamekua hawalipi kodi na kuikosesha nchi mapato makubwa kwa ajili ya miradi yenye faida kwa maendeleo ya umma. Rushwa iliyotawala iliwezesha mapato ya serikali kuishia kwa watendaji wala rushwa na makandarasi wapiga dili huku kandarasi nyingi zikiishia hewani au kukamilishwa chini ya kiwango.

Tundu lissu alikaririwa akimkejeli bungeni mwalimu nyerere na imani yake ya ujamaa. Mwenyewe anafikiri watu wamesahau. Hivi leo analeta unafiki kwa kumnukuu nyerere huku akitoa tafsiri potofu kuunga mkono itikadi ya kiliberali ya uchumi ambapo katika hali halisi uchumi utakua holela ili uweze kuporwa kutokana na kukosekana udhiti thabiti.

Anachotaka ni kuleta hali ya kuchanganya watu ili mabeberu kama wale wa acacia warejee kutuibia na kuwapa vibaraka kama yeye ujira.
Kama taifa tumkatae tundu lissu na vibaraka wenzake kwa nguvu zote.
 
Mataga mtaimba nyimbo zote mpaka midomo yenu ikauke na hakuna cha kumuachia Mungu uchaguzi huu kitaeleweka tu awamu hii.
 
Sasa hiyo mnakuwa mnawatenga wa nyuma hawaonekani mkuu, mmechukuwa tu wa mbele na anga kana kwamba wanaenda mbinguni, wekeni aerial view inayoonesha washiriki wote kabisa.. vivuli vinaonesha kabisa jua likielekea kuzama yaani ni kuelekea mwisho wa mkutano mkuu. View attachment 1551691
Ukiangalia nembo kwenye hiyo picha utagundua kuna lengo hasi. Yaani ni propaganda ya TBC dhidi ya upinzani.

" vivuli vinaonesha kabisa jua likielekea kuzama".

Kama ukichukua muda na kuichunguza vizuri picha yenyewe utagundua yafuatayo:
Mwanga wa picha yenyewe unatofautiana na mwanga wa jua kuzama.

Watu waliopo nyuma wote walikuwa wanatembea, inaonyesha kuna wanaotoka na kuna wanaoingia katika hilo eneo. Ukiangalia urefu wa vivuli vya watu vinatofautiana sana na urefu wa kivuli cha wakati wa jua kuzama.
 
Hii kauli mbiu ni very touching, kwa Watanzania walioteseka kwa miaka mitano, lazima kuna jambo angalau moja litakugusa. Kama sio kunyimwa uhuru, basi haki, kama sio haki basi ni kuvurugiwa mipango yako ya maendeleo.

PI
Yote yanamguso ktk jamii ..hongera chadema na mungu ibariki chadema, Asanteni na usiku mwema
 
Nimemsikiliza lissu leo kawe na kupata hakika jinsi gani yeye binafsi kwa kuitumia chadema anataka kurejesha sera za kibwanyenye nchini ambapo wenye nacho wanazidi kupata na wavuja jasho wanazidi kua maskini. Lissu ni mtu kwa hisia za kutukuza wazungu anakua kibaraka kirahisi. Mabeberu kwa kisingizio cha uhuru wa binadamu na demokrasia wanataka kurejesha hali ambayo ccm baada ya kutoka kwenye misingi yake ilifikisha taifa mahali pabaya...
CCM mtatapika damu mwaka huu!! Watanzania wanazidi kuzikubali Sera za Lissu tu!!
 
Nimemsikiliza lissu leo kawe na kupata hakika jinsi gani yeye binafsi kwa kuitumia chadema anataka kurejesha sera za kibwanyenye nchini ambapo wenye nacho wanazidi kupata na wavuja jasho wanazidi kua maskini. Lissu ni mtu kwa hisia za kutukuza wazungu anakua kibaraka kirahisi. Mabeberu kwa kisingizio cha uhuru wa binadamu na demokrasia wanataka kurejesha hali ambayo ccm baada ya kutoka kwenye misingi yake ilifikisha taifa mahali pabaya... hali ya kuwepo rushwa iliyokithiri ambapo kunakua na ulegevu mkubwa wa kufuatwa sheria zenye kulinda maslahi ya kiuchumi wa taifa...
Utakuta hapo ulipo uko na matatizo kibao na source ya umaskini wako unaijua ila unaendelea kuhubiri upuuzi
 
Nimemsikiliza lissu leo kawe na kupata hakika jinsi gani yeye binafsi kwa kuitumia chadema anataka kurejesha sera za kibwanyenye nchini ambapo wenye nacho wanazidi kupata na wavuja jasho wanazidi kua maskini. Lissu ni mtu kwa hisia za kutukuza wazungu anakua kibaraka kirahisi. Mabeberu kwa kisingizio cha uhuru wa binadamu na demokrasia wanataka kurejesha hali ambayo ccm baada ya kutoka kwenye misingi yake ilifikisha taifa mahali pabaya...
Safari hii lazima mlale na viatu kwa uchovu mnaopewa na chadema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .. lissu anatesa eee.

JamiiForums-1658489397.jpg
 
ccm vibaraka wa madikteta mnakandamiza uhuru na haki kwa kisingizio cha maendeleo ya vitu.
CCM ni wakoloni weusi ni makaburu weusi Nchi inabidi kudai Uhuru upya kwana ilivyokuwa mwaka 1961
 
Kutawala nchi sio lelemama,kujenga au kustawisha uchumi wa nchi sio lelemama. Ukisikia nchi kama Ufarasa au Uingereza na Japan wakikwambia sasa tunapenda utawala wa sheria,jiulize swali la msingi kwanini sasa sio jana na juzi?

Hao ni sawa sawa na mwizi mkubwa anaestaafu kwa kudai Yesu Kristo amemuonyesha njia baada ya kuiba,kunyanganya,kupora mali lukuki hadi akawa tajiri namba mmoja.

Hayo mataifa yenye kihelehele cha kufundisha au kuhutubia demokrasia kama yangefanya haki wangebaki fifth world. Nipe nchi angalau mmoja ilioanzia utawala wa haki na ikapasua.
 
CCM mtatapika damu mwaka huu!! Watanzania wanazidi kuzikubali Sera za Lissu tu!!
Lissu leo katest mitambo wameanza kujambajamba.Lazima mwaka huu CCM waseme kwanini hawajatuongezea mishahara miaka 5, kwanini wamekiuka mkataba wa bodi ya mikopo.Kwanini wanajiingiza kwenye biashara badala ya sekta binafsi
 
Ukiangalia nembo kwenye hiyo picha utagundua kuna lengo hasi. Yaani ni propaganda ya TBC dhidi ya upinzani.

" vivuli vinaonesha kabisa jua likielekea kuzama"....
Mkuu hilo tukio lilikuwa live TBC, kama hukuangalia utatilia shaka hiyo picha, hizo ndo picha za mwishomwisho wakati Mbowe akitoa povu muda mchache kabla Lissu hajasimama, ilikuwa unaelekea kumi na mbili.
 
Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi...
subiri muone mambo Siku Gwajimasssss & JPM
 
Rais Mtarajiwa wa Tanzania ambaye pia ni Mgombea Urais wa Chadema Mh Tundu Lissu, ambaye wachambuzi wa kisiasa wanamkadiria kujinyakulia zaidi ya 70% ya kura zote, leo tena anaingia kwenye viwanja vya Tanganyika Packers kuongea na wananchi.

=====
LIVE FEED:



MBOWE: HATUOGOPI TBC WALA SERIKALI. TBC WAKIJITAFAKARI TUPO TAYARI KUWASAMEHE

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiwa katika Kampeni za CHADEMA, Kawe Jijini Dar amesema jana katika Mkutano wao wa Mbagala waliwataka TBC kuondoka, jambo lililopokelewa vema na Watanzania wengi husasan wale wanaopenda Uandishi wa Habari wa haki

Amesema, "Napenda niwaambie Wanahabari wote, Chama chetu kinaamini katika Uhuru wa Habari, kinamini katika Uandishi wa Habari unaofanywa kwa Weledi, usio na upendeleo"

Amesisita, "Chombo chochote kinachotaka kutoa taarifa zetu, tunakiruhusu, tunakikaribisha, tutashirikiana nacho lakini kitoe taarifa za ukweli bila upendeleo bila ushabiki"

Ameongeza, "TBC wametoa tamko. Wanasema taarifa wametoa Polisi, sisi taarifa tumetoa kwa Mungu. Tunapenda kuwambia TBC, Polisi imekuwa sehemu ya maisha yetu wala hatutishwi na mtu kwenda Polisi kutushtaki"

Amesema TBC wajitafakari na wakiona wapo tayari kufanya kazi kwa uadilifu, CHADEMA ipo tayari kuwasamehe ila sio kutishana kwa sababu wao hawaiogopi TBC wals Serikali ila wanawaheshimu wote na taaluma ya habari

Tukutane october, wacheni usanii [emoji116]
FB_IMG_1598719257064.jpg
 
Zingatia maelekezo uweze kusaidia kufanikisha kampeni na ndoto zetu za kuingia Ikulu!

Ndugu Mtanzania saidia kwa kutoa mchango wako ili uoke jahazi!





FB_IMG_15987649203579643.jpg
 
Back
Top Bottom