Uchaguzi 2020 Uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA waendelea, Kawe kumewaka moto leo

Haya maneno ni machungu lakini ndio ukweli wenyewe, kwenye album mpya ya Burna Boy aliyoitoa mwezi huu kuna wimbo unaitwa “The monsters you have made” humo anaelezea hii habari.

Jamaa wametuibia kila kitu, na bado wanataka kuendelea kutuibia hata kidogo tulichonacho, tena hili wameli justify kwenye maandiko yao yaliyowakalilisha wazee wetu eti kwamba aliyenacho ataongezewa, asiyenacho hata kidogo alichonacho atanyang’anywa. Tukiweka sura za ukauzu kama kina Magu, Ghadaffi, Savimbi, Iddi Amin, Kagame, Museveni na wengineo utaskia nyenyenye zao kila pande ya dunia.

Wazungu na wafuasi wao ni watu wa double standards sana.
 
Ruzuku imeisha yote bwashee?

Hamkuweka akiba ya uchaguzi!

I don’t know what’s the fuss here..Ni jambo la kawaida kabisa kushirikisha wananchi/wanachama kuchangia uchaguzi na CHADEMA wamechelewa tu wangeanza mapema kabisa. Hata ukifatilia chaguzi za Marekani na nchi zingine election fundraising is a must na inashirikisha wadau wengi pamoja na wanachama. Otherwise mnategemea CHADEMA wapate fedha wapi? Hiyo ruzuku wanayopata CHADEMA itakuwa inaishia tu kwenye uendeshaji wa chama. Ni pesa kidogo sana ukilinganisha na ukubwa na mahitaji ya chama kwa sasa. Not to mention legal issues kibao na kesi uchwara za kusingiziwa na purukushani za hapa na pale na serikali isiyoisha. Only an idiot would not see sense in this approach. Wananchi na wanachama wanaojielewa watachangia na watagaramia uchaguzi kwa pesa zao wenyewe.
 
Bado mnawachangisha hawa hawa maskini??

Halafu huu mtandao wa voda si mlisema mmeupiga chini mkatuonyesha mnavyokatakata laini, sasa mlivyouweka hapo kuna mwanachadema gani anatumia vodacom?? Bado yupo kweli au ile ilikuwa kujipiga dole na kushtuka wenyewe?
 
CCM wanazo kibindoni kiasi cha TZS 1.5Tn ambazo kutokana umahiri na uweledi mkubwa Prof. Assad aliung'amua uvundo wa kutisha wa kukwapuliwa kutoka ktk fuko la hazina kuu ya taifa.
 
hakuna jambo la kawaida hapa mkuu, walikuwa hawajui kuwa oktoba 2020 kuna uchaguzi? Hao viongozi kesi zote walizitafuta wenyewe kwa nguvu hivi zile za kampeni 2015 zilitoka wapi?
 

Hakuna haja ya kuwajibu hawa. Dunia nzima vyama vya siasa na wanasiasa wanachangisha hela za kampeni. CCM wao wanachota hazina kama za kwao na kwa taarifa zilizopo ni kuwa wamekusanya zaidi ya 6B kwenye uchukuwaji wa fomu za watia nia.

Tutachangia na hela za kampeni zitapatikana. Waache waendelee kubweka!
 
Tatizo figisofigiso za CCM ndiyo zimechelewesha 'there are alot of uncertainty with this regime'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…