johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ruzuku imeisha yote bwashee?
Hamkuweka akiba ya uchaguzi!
Hamkuweka akiba ya uchaguzi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya maneno ni machungu lakini ndio ukweli wenyewe, kwenye album mpya ya Burna Boy aliyoitoa mwezi huu kuna wimbo unaitwa “The monsters you have made” humo anaelezea hii habari.Kutawala nchi sio lelemama,kujenga au kustawisha uchumi wa nchi sio lelemama.
Ukisikia nchi kama Ufarasa au Uingereza na Japan wakikwambia sasa tunapenda utawala wa sheria,jiulize swali la msingi kwanini sasa sio jana na juzi?
Hao ni sawa sawa na mwizi mkubwa anaestaafu kwa kudai Yesu Kristo amemuonyesha njia baada ya kuiba,kunyanganya,kupora mali lukuki hadi akawa tajiri namba mmoja.
Hayo mataifa yenye kihelehele cha kufundisha au kuhutubia demokrasia kama yangefanya haki wangebaki fifth world.
Nipe nchi angalau mmoja ilioanzia utawala wa haki na ikapasua.
Kwani ni dhambi ama kosa kisheria kwa chama cha siasa kuchangisha fedha?Ruzuku imeisha yote bwashee?
Hamkuweka akiba ya uchaguzi!
Swali kwa swali!Kwani ni dhambi ama kosa kisheria kwa chama cha siasa kuchangisha fedha?
Wamekula bia ruzuku yote, kama vile wameshtukizwa kuhusu kampeniRuzuku imeisha yote bwashee?
Hamkuweka akiba ya uchaguzi!
Ruzuku imeisha yote bwashee?
Hamkuweka akiba ya uchaguzi!
Swali laweza kujibiwa kwa swali.Swali kwa swali!
Front siti kabisa. Kule idyodyomiya kuna tamasha la wanamuziki 200+
Andika kwanza barua ya maombi na kwanini mnaomba hela kampeni!Zingatia maelekezo uweze kusaidia kufanikisha kampeni zetuView attachment 1552699
Bado mnawachangisha hawa hawa maskini??I don’t know what’s the fuss here..Ni jambo la kawaida kabisa kushirikisha wananchi/wanachama kuchangia uchaguzi na CHADEMA wamechelewa tu wangeanza mapema kabisa. Hata ukifatilia chaguzi za Marekani na nchi zingine election fundraising is a must na inashirikisha wadau wengi pamoja na wanachama. Otherwise mnategemea CHADEMA wapate fedha wapi? Hiyo ruzuku wanayopata CHADEMA itakuwa inaishia tu kwenye uendeshaji wa chama. Ni pesa kidogo sana ukilinganisha na ukubwa na mahitaji ya chama kwa sasa. Not to mention legal issues kibao na kesi uchwara za kusingiziwa na purukushani za hapa na pale na serikali isiyoisha. Only an idiot would not see sense in this approach. Wananchi na wanachama wanaojielewa watachangia na watagaramia uchaguzi kwa pesa zao wenyewe.
hakuna jambo la kawaida hapa mkuu, walikuwa hawajui kuwa oktoba 2020 kuna uchaguzi? Hao viongozi kesi zote walizitafuta wenyewe kwa nguvu hivi zile za kampeni 2015 zilitoka wapi?I don’t know what’s the fuss here..Ni jambo la kawaida kabisa kushirikisha wananchi/wanachama kuchangia uchaguzi na CHADEMA wamechelewa tu wangeanza mapema kabisa. Hata ukifatilia chaguzi za Marekani na nchi zingine election fundraising is a must na inashirikisha wadau wengi pamoja na wanachama. Otherwise mnategemea CHADEMA wapate fedha wapi? Hiyo ruzuku wanayopata CHADEMA itakuwa inaishia tu kwenye uendeshaji wa chama. Ni pesa kidogo sana ukilinganisha na ukubwa na mahitaji ya chama kwa sasa. Not to mention legal issues kibao na kesi uchwara za kusingiziwa na purukushani za hapa na pale na serikali isiyoisha. Only an idiot would not see sense in this approach. Wananchi na wanachama wanaojielewa watachangia na watagaramia uchaguzi kwa pesa zao wenyewe.
Ungejibu swali uliloulizwaKwani ni dhambi ama kosa kisheria kwa chama cha siasa kuchangisha fedha?
I don’t know what’s the fuss here..Ni jambo la kawaida kabisa kushirikisha wananchi/wanachama kuchangia uchaguzi na CHADEMA wamechelewa tu wangeanza mapema kabisa. Hata ukifatilia chaguzi za Marekani na nchi zingine election fundraising is a must na inashirikisha wadau wengi pamoja na wanachama. Otherwise mnategemea CHADEMA wapate fedha wapi? Hiyo ruzuku wanayopata CHADEMA itakuwa inaishia tu kwenye uendeshaji wa chama. Ni pesa kidogo sana ukilinganisha na ukubwa na mahitaji ya chama kwa sasa. Not to mention legal issues kibao na kesi uchwara za kusingiziwa na purukushani za hapa na pale na serikali isiyoisha. Only an idiot would not see sense in this approach. Wananchi na wanachama wanaojielewa watachangia na watagaramia uchaguzi kwa pesa zao wenyewe.
Swali laweza kujibiwa kwa swali pia.Ungejibu swali uliloulizwa
Sasa unaulizwa swali unawe unauliza swali
Siijui tunakwama wapi
Tatizo figisofigiso za CCM ndiyo zimechelewesha 'there are alot of uncertainty with this regime'I don’t know what’s the fuss here..Ni jambo la kawaida kabisa kushirikisha wananchi/wanachama kuchangia uchaguzi na CHADEMA wamechelewa tu wangeanza mapema kabisa. Hata ukifatilia chaguzi za Marekani na nchi zingine election fundraising is a must na inashirikisha wadau wengi pamoja na wanachama. Otherwise mnategemea CHADEMA wapate fedha wapi? Hiyo ruzuku wanayopata CHADEMA itakuwa inaishia tu kwenye uendeshaji wa chama. Ni pesa kidogo sana ukilinganisha na ukubwa na mahitaji ya chama kwa sasa. Not to mention legal issues kibao na kesi uchwara za kusingiziwa na purukushani za hapa na pale na serikali isiyoisha. Only an idiot would not see sense in this approach. Wananchi na wanachama wanaojielewa watachangia na watagaramia uchaguzi kwa pesa zao wenyewe.