Uzinduzi William TV: Dunia macho na maskio yote Dar, ni tukio la kihistoria

Uzinduzi William TV: Dunia macho na maskio yote Dar, ni tukio la kihistoria

ca2a258c530f9575a8c9507e58c87d48.jpg

Hao wanawake unaopiga nao picha huwa wanakupa ruhusa ya kuja kuwaanika sura zao huku?
 
Hapana shemeji, nataka awe padri.

Ha ha ha, watu wakienda kuungama kwake itabidi wasiitaje ile dhambi ilee.

Unataja zingine zingine halafu ile unaijumlisha kwenye "...na zingine zote nilizozifanya...".

Maana hachelewi kuomba demo.
 
Ha ha ha, watu wakienda kuungama kwake itabidi wasiitaje ile dhambi ilee.

Unataja zingine zingine halafu ile unaijumlisha kwenye "...na zingine zote nilizozifanya...".

Maana hachelewi kuomba demo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Shemeji siku hizi hayo mambo ameacha bwana.
 
Aache sasa kuvaa mashati makubwa lama parashuti.

Yupo kama lodilofa
 
sijaelewa wakuu ni online chanel au tv chanel kama itv maana watu wanazungumzia sana napenda kuelewa
 
Back
Top Bottom