Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Yaani mimi hata silewi. Why tusizitendee haki nyege zetu tunazibana bana tu. Mungu hakuwa mjinga kutuumba hivi
Ina shangaza sana huo ndio itakuwa mwanzo wa kubaka huo .. as long as una jisikia nyege wewe tafuta mwenzako kulana nae vizuri tu kupunguza ashki mwilini maana ashki sio nzuri wao walisha toka ktk huu unafki na sex kwao ni basic needs kabisaa
 
Lakini mzee watu wanapigana miti sana asee, yani hakuna kujali siku hizi wala kutongozana kivile, mkielewana tu ile kishkaji ni kuwekana tu. Sisi tuliooa bora tutulizane tu kwa kweli, nyie endeleeni tu.
 
Watu wamesha wasaidia sana hao watu uliowataja ktk hayo makundi lakini wakapokea disappoinment maisha haya we yaache tu kama yalivyo aise
Mkuu,kama tungekua tunasaidiana ili tusipate disappointment sidhani kama kuna watu wangesaidiana.
 
Gilesii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Role model tukutane Twitter 🤣🤣

Good boy gone bad
 
Yaani kuwaza ngono tu muda wote. Kuna starehe nyingi tu ambazo unaweza kufanya na ku enjoy maisha.
 
Katika maisha yangu, nilishawahi kugandwa na mchepuko (tena niliozaa naye mtoto), nikaona anataka kuharibu ndoa, hadi ilifika kipindi mimi na yeye tukawa tunashirikiana kumtafutia mwanaume, namkumbusha kila wakati amefikia wapi kupata mwanaume walau mzuri atakayemuoa manake niliona usumbufu umezidi. walau apate tu mwanaume amuoe nipumue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…