Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Afadhali alikuwa ni mwelewa
 
Huyo siyo mchepuko, huyo ni mzazi mwenzio, kuwa na heshima kwa mwanamke aliyekuzalia mtoto.
 
..hadi ilifika kipindi mimi na yeye tukawa tunashirikiana kumtafutia mwanaume, namkumbusha kila wakati amefikia wapi kupata mwanaume walau mzuri atakayemuoa manake niliona usumbufu umezidi. walau apate tu mwanaume amuoe nipumue.
🤣🤣
Mlifanikiwa kupata?
 
Umezungumzia hasara za kiuchumi tu... Kama uchumi hausumbui! Ruksa?
 
🤣🤣
Mlifanikiwa kupata?
ameshapitiwa na wanaume wawili sasa, ndoa mbili chali, tena wafanyakazi wana kipato tu ila wanaachana anarudi kwangu, sijui nilimlisha nini yule. kama hujaoa mzee, sema nikurushie namba ukabebe lile zigo la.....uoe tena hata mahali tutakuchangia walau ndoa yangu ikae salama. sura ni mzuri kuliko hata mama wa ndani, mambo yuko vizuri sana, ila shida mkigombana, ni mtata kuliko asha ngedere, alimtukana mke wangu matusi yoote unayoyajua, kesi nikauziwa mimi ndani hapatoshi hapo ndio niliamini mwanamke hata kama ni chembamba kama ufito kinaweza kukuendesha kikiamua. ila chonde, mtoto wangu nitaendelea kumtunza sihitaji umsaidie kwa chochote.
 
Daah, aisee 😁
Inawezekana huwa akipata mtu wee mzazi mwenzie unaendelea kupasha kiporo hadi unamharibia huko!
 
Mkuu leta hiyo namba tafadhali
 

Mit 6:32 SUV​

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…