Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Mdogo wangu huwa nakuona unapenda sana ishu za kunyonya vinyelo...lakini nikuambie tu haya mambo mwisho wake huwa ni mbaya sana......mimi nipo kwenye sekta ya afya najionea mengi sana
🤣🤣🤣🤣 Kwani whats the worse that could happen apart from dying? Maana kama kufa tutakufa tuu na hamna faida ya kuingia kaburini na afya njema🤣🤣🤣🤣🤣
 
Toa somo kwa wengine. Please, tupe hicho kisa.
 
Unavyoongea utadhani wewe utaishi milele..watu wanakufa kwa magonjwa ya ajabu ajali..dunia ni mapito tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ah tatizo yenuu mnaweka kifo mbali sana. Thats nature ni kitu kinaweza mtokea binadamu yoyote bwana.
Wanataka wafe na mapafu..figo ini zima waka waringishie wafu wenzao makaburini huko.

Utelezi muhimu kwa mwanadamu..kufa kupo tu..kunanjamaa yangu alikua anaogopa sana kugonga mademu akiogopa magonjwa ya zinaa..one day tuko rumu anakawa anajipima ngoma..akawa yuko poa tu..daah haikumaliza mwezi jamaa akapata ajali akafa.

Ndio nasema unaweza usife kwa uzinzi ukafa kwa kipindupindu..no body knows tomorrow..kuna mtu napima ngoma na demu nasahau kuna homa ya ini hiyo ni balaa zaidi ya ukimwi.

Chamsingi ni kuplay safe tumia ndomu choma chanjo ya homa ya ini..kama unataka kwenda dry pimeni mjilie vyenu.

Ila kuacha kutomber haiwezekani.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Tule mbususu mwanawane
 
Napenda unavyofikiri madam, ila mimi nafikiri hatujaja duniani kuishi milele. there is no perfect body..it all goes down the grave ..be happy for the moment life gives you mbususu's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…