Kwanini,ulinitongoza ukanila? Easy bas,easy bro.Siku hazifanani Leo sina mood ya kuchekacheka hata kidogo.I beg you
Hapana mkuu.Mi sitongozagi mitandaoni..Na deal na real people around me!.Kwanini,ulinitongoza ukanila? Easy bas,easy bro.Siku hazifanani Leo sina mood ya kuchekacheka hata kidogo.I beg you
🤜 It's sound good.... don't judge me basHapana mkuu.Mi sitongozagi mitandaoni..Na deal na real people around me!.
We jamaa wewe..🤣🤣Wewe ukitaka kujua kuwa watu wanapenda uzinzi angalia revenue za porn industry. Yaani ni more than nba, mlb na nfl combined.
Sijamuona mlenzi wangu Demi hapa mpaka sasa. Sijui anagegedana huko alipo
Watu wanagawana viplot🤣Umetaja hasara upande wa mwanaume, vipi kwa wake za watu, wao huingia hasara zipi za kifedha? 😊
Maana miaka hii ngoma droo, mume anapita kipande hii na mke kipande ile...
Kuna mda unafanya mamb mpk nafas inakusutaa unamua kuokoka tuYan Leo mnayoongea kma sio nyie 😂😂😂
Kweli uchawi upo😂
Mie najifunza kwako ujue😅😅Wewe ukitaka kujua kuwa watu wanapenda uzinzi angalia revenue za porn industry. Yaani ni more than nba, mlb na nfl combined.
Sijamuona mlenzi wangu Demi hapa mpaka sasa. Sijui anagegedana huko alipo
Nyie warembo wa jf sii mnataka kuonana na big boys tuu ...sie waendesha bodaboda mnatukwepa kama ukoma.We jamaa wewe..🤣🤣
Basi ingekuwa kuonana na mtu wa Jf ni rahisi wewe ningekuona.
Sababu ni moja tu kulinganisha mwandiko na muonekano😀
Nitacheka sana
Mie nakupendea hapo tuu....hizi mada upo front line kabisa.Mie najifunza kwako ujue😅😅
Nakuaje mlezi?
Watu ni wanafiki ndugu yangu, sex is for everyone wanajidai tu hapa.
Yaani nipewe mdomo halafu unipangie nini nile na nini nisile, doesn't make sense
Mie nakupendea hapo tuu....hizi mada upo front line kabisa.
Ila leo umechelewa kuonekana, shem alikuwa anakojowa ubongo nini🤣🤣🤣🤣
😂😂 yaan km sio nyieKuna mda unafanya mamb mpk nafas inakusutaa unamua kuokoka tu
Kwa nini usingemuua?Mikosi nuksi na mabalaa, sio kila bwana anakugharamikia kwa kheri, mwingine anakuja kuiba nyota yako.
Pia wengi kwa kupenda vya bure wameuawa, wamedhalilishwa, wamebakwa, wamepigwa picha za uchi na madhila mengi wamefanyiwa.
Mi nilipata mbaba mmoja ana mijipesa hake ya haja. Akawa ananihonga hadi milioni tano, kumbe ana lake jambo.
Kunitongoza hanitongozi ila anataka tukae wote hadi usiku mkubwa.
Siku moja akaniambia leo utalala kwangu, nikamwambia sawa. Basi tukaenda hadi kwake, kilichonipata sitaki kusimulia
UongoMimi siyo mzinzi na wala siungi mkono uzinzi ila ikitokea hivi INA maana huyo bidada kaja Kwa option ya kukupa ile bikra ya Pili kama ipo.
By the way mwanamke anayejuwa kuitumia vizuri nafasi take anaweza kumridhisha mwanaume bila kuliwa papuchi, hawa viumbe wana mambo mengi sana.
Wengi wapo hiviNa imeonekana kama ni fahari hivi, tunajisifu kwa kugharamia uzinzi kwa laki,laki 2 lak 3...lakini watu wetu wa karibu wana changamoto lukuki ambazo zingeweza suluhishwa na hizo pesa(wazazi,kaka,dada,wagonjwa kwenye familia,watoto,mke)...na mbaya zaidi wengine ni watu waliotupigania sana kufika hapa tulipo na tunaona tumefanya maamuzi sahihi kabisa...tunaishi maisha ya unafiki sana.
Wabeja sana..mademu wengi sana.Tule mbususu mwanawane
Hapo eti akizeeka tuna kurudishia uwiii[emoji32][emoji32][emoji32]Unakuwa unajichumia laana za bure kabisa. Mfano mwanaume uko busy unahangaika kuhonga michepuko, afu nyumbani mkeo anasema leo mume wangu kakosa acha tuvumilie.
Watoto wanakula ugali mchicha hata kama hawapendi. Mke anawalaza watoto afu anaenda kupiga magoti akiomba Mungu mume afanikiwe. Tena anakua hata hajui kuna mwenzie analishwa kuku huku nje.
Yule mke anasali kwa uchungu juu ya uchumi wa familia, mwanaume anahonga tu...aaahh weee usiombe hicho kibano chake, michongo itafeli, figo zitafeli, utatulizana.
Na michepuko ya siku izi imelamba ndimu hatari. Kupiga simu kwa mke kujinadi haioni shida, tena wanakwambia "unajisifia mipete hiyo mwenzako napelekwa zanzibar...nina amani na furaha we una nini...hujui kumhandle mume acha tukusaidie na akizeeka tunakurudishia" mke unalia chinchin afu unarudi kumuomba Mungu amrejeshe Mume wako...jamani brother...hiyo laana usiombe.
Mbinguni tunapewa mwili mpya au sio🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwani whats the worse that could happen apart from dying? Maana kama kufa tutakufa tuu na hamna faida ya kuingia kaburini na afya njema🤣🤣🤣🤣🤣