Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Take precautions tu..ila eti kusema watu wasisukume nyama kisa gharama huko ni kujidanganya..

Mimi siwezi mkataza mtu kusukuma nyama ila huwa na mwambia achukue tahadhari tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Ulituweza sana bujibuji na ile ID yako ya giLEsi. Sitokaa niisahau katika maisha yangu ya JF.
 
Umetaja hasara upande wa mwanaume, vipi kwa wake za watu, wao huingia hasara zipi za kifedha? 😊

Maana miaka hii ngoma droo, mume anapita kipande hii na mke kipande ile...
Usitugombanishe!! Wanawake hatuchepuki.
 
🤣🤣🤣🤣🤣Hutaki support 🤣🤣🤣🤣
Mie mbona najua hapa jf nina support yenu wadau...sema ndio hivyo nyie support yenu ni ya kwenye marimba ya mzungu na sio kwenye real life🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kusema ukweli huu mchezo ni pendwa saana na ukija tathimini hapa wengi wameshakua wakishiriki mapenzi na watu zaidi ya 3+ nina hakika na hili...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…