Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Mimi siyo mzinzi na wala siungi mkono uzinzi ila ikitokea hivi INA maana huyo bidada kaja Kwa option ya kukupa ile bikra ya Pili kama ipo.

By the way mwanamke anayejuwa kuitumia vizuri nafasi take anaweza kumridhisha mwanaume bila kuliwa papuchi, hawa viumbe wana mambo mengi sana.
Wanawake hata mshituko mdogo tu unaweza kumfanya aanze kuvuja
 
Jf kila thread ni mtaa wenye watu wake.. Kuna thread nilipita kila mwanaume anasema wanaume wasiochovya chovya wana mapungufu,

huu sasa ni kwa wasiofanya kuepuka mabalaa 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️
 
1. Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/ maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.

Umeenda Airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.

Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?

Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.

Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.

Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.

Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.
BujiBuji sasa umeacha huo uzinzi?
 
Hamna mtu mwenye akili timamu asie kua na poor family background, anae weza kuendekeza uzizi, wengi ni limbukeni, urban-rural acitement, ushamba wa pesa pombe mkumbo nk..........ila kwa ukweli uzizi hauwezi kuacha mtu salama ata siku moja
 
what if mtu apata amani na furaha pia kwa kufanya huo mnaoita uzinzi?
Hakuna amani na furaha bwana. Waulize wamama watu wazima walioishi maisha ya kudanga enzi za usichana wao maana wapo watakwambia. Haulipi na hauna faida.

Kuna mmoja aliishi hayo maisha kweli kwa kipindi hicho alikuwa na the so said "amani na furaha" tena alikuwa na body kinanda. Rangi tamu. Akaolewa lakini kwa sababu ya kurukaruka akaachika. Akaendelea na uzinzi. Akaukwaa ukimwi. Umri ukasogea papuchi ikawa tafrani no taste.

Akaanza kuvuta shuka kumekucha. Yupo tu leo anahangaika kwa dada zake na anategemea watoto wa dada yake wamuuguze maana hali si hali. Yani anawategemea ndugu zake inshort. So furaha na amani ni ya kitambo tu. Kwani hata sigara si inampa mtu amani na furaha. Matokeo yake huwaga ni nini.

Hata goliath alikuwa na furaha na amani alivyokua anaonea watu. Hata mwizi akikaba anafuraha na amani..lakin zinapofika 40. Hakuna dhambi ambayo haileti furaha maana lazima dhambi ikupe fake satisfaction. Ila pale shetan anapoanza kutudai vya kwake haloooo....
 
Jf kila thread ni mtaa wenye watu wake.. Kuna thread nilipita kila mwanaume anasema wanaume wasiochovya chovya wana mapungufu,

huu sasa ni kwa wasiofanya kuepuka mabalaa 🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️🤦🏽‍♂️
Wasiochovya chovya hawana mapungufu yoyote, Bali ni kujitambuwa tu, umalaya ni gharama kwahiyo lazima uchaguwe priority zako ni zipi?

Kuna umri wa kutengeza familia imara na best future, unaodhani wanakuzimia Leo ukija kupauka utaanza kuwakimbia wewe kabla hujakimbiwa.
 
Hakuna amani na furaha bwana. Waulize wamama watu wazima walioishi maisha ya kudanga enzi za usichana wao maana wapo watakwambia. Haulipi na hauna faida.

Kuna mmoja aliishi hayo maisha kweli kwa kipindi hicho alikuwa na the so said "amani na furaha" tena alikuwa na body kinanda. Rangi tamu. Akaolewa lakini kwa sababu ya kurukaruka akaachika. Akaendelea na uzinzi. Akaukwaa ukimwi. Umri ukasogea papuchi ikawa tafrani no taste.

Akaanza kuvuta shuka kumekucha. Yupo tu leo anahangaika kwa dada zake na anategemea watoto wa dada yake wamuuguze maana hali si hali. Yani anawategemea ndugu zake inshort. So furaha na amani ni ya kitambo tu. Kwani hata sigara si inampa mtu amani na furaha. Matokeo yake huwaga ni nini.

Hata goliath alikuwa na furaha na amani alivyokua anaonea watu. Hata mwizi akikaba anafuraha na amani..lakin zinapofika 40. Hakuna dhambi ambayo haileti furaha maana lazima dhambi ikupe fake satisfaction. Ila pale shetan anapoanza kutudai vya kwake haloooo....
Very sad story aisee.
Isomwe na Miss Natafuta
 
Aise kumbe ni bonge la lecture hili.
Ila jameni uzinzi raha. Yaani wanawake watamu asikwambie mtu. Ile burudani wakati wa kugegedana acheni tuu. Wacha tuburudike na le mbususu hayo madhara yake tutajuaga huko huko mbele ya safari
 
Na imeonekana kama ni fahari hivi, tunajisifu kwa kugharamia uzinzi kwa laki,laki 2 lak 3...lakini watu wetu wa karibu wana changamoto lukuki ambazo zingeweza suluhishwa na hizo pesa(wazazi,kaka,dada,wagonjwa kwenye familia,watoto,mke)...na mbaya zaidi wengine ni watu waliotupigania sana kufika hapa tulipo na tunaona tumefanya maamuzi sahihi kabisa...tunaishi maisha ya unafiki sana.
 
Wala sio unafiki...mzee jipende wewe kwanza hao wengine baadae. Binadamu wenyewe hawa hawana maana unawasaidia lakini likikufika jambo wewe wanaanza kusema ah yule boya sana.
 
Back
Top Bottom