Uzinzi ni gharama kubwa, kama wewe sio risk taker tulia kwa mkeo uwaachie wababe

Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.

Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.

Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?

Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.

Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.

Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.

Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.

Mkuu waambie tu ukiwa mzinzi uwe na pesa za kutosha kwa ajili ya kuzinzika, uwe na hasira za chini na usiwe na matarajio sawa na moyo wako.... tofauti na hivo utakufa na magonjwa ya msisimko
 
Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.

Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off.

Unafanyaje mkuu? Utaendelea kulipia hoteli hadi amalize au utamrudisha na ndege ya kesho alfajiri?

Uzinzi una gharama kubwa sana, kuanzia kimwili, kiafya, kiroho, kiuchumi na kiakili.

Uzinzi unachakaza mwili, unazeeka haraka. Pia uzinzi ni lango la magonjwa mengi yatakayokufanya uingie hasara kubwa ya kifedha kuyatibu.

Pia uzinzi unaweza kukuvunjia heshima kwa watu wanaokuzunguka na jamii yako kwa ujumla.

Uzinzi ni bonge la risk, kama sio risk taker tulizana tu.

Aseee we jamaa hapa umeongea, maandishi haya yotee yawekwe wino wa dhahabu kwa vizazi vijavyoo

Uasherati ni gharama sana mamaee dooh
 
Hamna mtu mwenye akili timamu asie kua na poor family background, anae weza kuendekeza uzizi, wengi ni limbukeni, urban-rural acitement, ushamba wa pesa pombe mkumbo nk..........ila kwa ukweli uzizi hauwezi kuacha mtu salama ata siku moja
Kama ameanza siku mwambie akupeleke kwa mpalange, maana huko msimu ni mmoja tu, jua kali pasipo mvua.
 
Mimi siyo mzinzi na wala siungi mkono uzinzi ila ikitokea hivi INA maana huyo bidada kaja Kwa option ya kukupa ile bikra ya Pili kama ipo.

By the way mwanamke anayejuwa kuitumia vizuri nafasi take anaweza kumridhisha mwanaume bila kuliwa papuchi, hawa viumbe wana mambo mengi sana.
Duu sikuwahi kuwaza hili kuwa demu kalazimisha kuja huku akiwa bleed maana yake anataka ailiwe jicho.aseeee
 
🙄🙄🙄
Kwani weee unadhani kiasi gani cha fedha kinakutosha ili uzitosheleze tamaa zako za mwili?

Hela inaweza ikakufanya ice cream 🍦 ya Sno Cream ukaiona kama kimpumu, ukijisikia kula ice cream 🍦 ukakodi private jet na kwenda Paris kula ice cream 🍦 na kurudi na bado usitosheke. Mwili nyoko
 
Back
Top Bottom