Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

Diamond, Mbosso unawazungumziaje?
 
Waarab wangekua maskini kuliko ww😂
Tuweke utani pembeni, katika hii dunia sidhani kama kuna jamii inayounga mkono mchezo wa wanaume kushiriki mapenzi kinyume na maumbile na wanawake/ au wanaume wenzao kuliko mataifa ya magharibi (zipo nchi nyingine pia zisizokuwa ukanda huo)

Maana nchi zao ndio zinaongoza kuhalalisha hilo jambo, yaani wameshafanya hiyo michezo sana mpaka wameona iwe kawaida tu na halali, ikiwezekana kazi rasmi kabisa ya kumuingizia mtu kipato.

Sio poa hata kidogo
 
Hivi kuna faida gani eti??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…