Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

Uzinzi utakufanya uwe masikini haijalishi unafanya kazi gani

Ukiwa mzinzi, utaandelea kuwa masikini.

Uzinzi haupatani na HELA. Uzinzi unaua FOCUS.

Kuna jamaa mmoja nilienda kumtembelea huyu jamaa mzinzi sana ila ameishia kuishi kwa madeni ya hapa na pale.

Malaya hana uwezo kukumbusha kujenga au kununua tofali au kufungua kampuni.
Diamond, Mbosso unawazungumziaje?
 
Waarab wangekua maskini kuliko ww😂
Tuweke utani pembeni, katika hii dunia sidhani kama kuna jamii inayounga mkono mchezo wa wanaume kushiriki mapenzi kinyume na maumbile na wanawake/ au wanaume wenzao kuliko mataifa ya magharibi (zipo nchi nyingine pia zisizokuwa ukanda huo)

Maana nchi zao ndio zinaongoza kuhalalisha hilo jambo, yaani wameshafanya hiyo michezo sana mpaka wameona iwe kawaida tu na halali, ikiwezekana kazi rasmi kabisa ya kumuingizia mtu kipato.

Sio poa hata kidogo
 
Screenshot_20240113-234307~3.jpg
 
Tuweke utani pembeni, katika hii dunia sidhani kama kuna jamii inayounga mkono mchezo wa wanaume kushiriki mapenzi kinyume na maumbile na wanawake/ au wanaume wenzao kuliko mataifa ya magharibi (zipo nchi nyingine pia zisizokuwa ukanda huo)

Maana nchi zao ndio zinaongoza kuhalalisha hilo jambo, yaani wameshafanya hiyo michezo sana mpaka wameona iwe kawaida tu na halali, ikiwezekana kazi rasmi
Hivi kuna faida gani eti??
 
Back
Top Bottom