Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu

Mungu akusaidie nawe utoboe uwe na kwako...Kila la.kheri, sioni ubaya wakukaa kwandugu Kama mnaishi vizuri hakuna tatizo...Mambo yako yatanyooka tu usikate tamaaa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Personally nakusupport na nakupongeza kwa kujitambua. Kujitambua ni mwanzo wa mafanikio yako.

Ila kama huwa unashinda nyumbani wewe ni mzigo kwasababu naamini mtembea bure si sawa na mkaa bure.

Amka fanya kazi za nyumbani ukishamaliza jichanganye town hukohuko utapata mishe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwanini ateseke, ashasema chakula ni kingi na shemeji yake hana noma.... pili wanapendana na mkewe hivyo hana hofu ya kufukuzwa.

Mwaka wa tatu anasubiri kupigiwa simu za intavyuu, akiulizwa huwa anasema kuna mishe anaisikilizia.... binafsi nampa kongole.
 
Kama ndio hivo "JINGA SANA"
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajisikiaje ukiona dada ako analiwa papuchi, tena shemeji ako akawa anamsugua na mikito ya mauaji. Hujisikii vby?
 
Ndugu wa mke mara nyingi wanapata mteremko... Angekuwa ndugu wa mume hapo atii pua... Kila kukicha kesi... Ajibu hapa kama hiyo nyumba ina ndugu wa shemeji yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna vitu vingi sana vya kufanya na kujitia moyo heti umerudisha mpira kwa kipa siku utatoka kimaisha ni uboya. Tafuta shughuli yoyote ufanye hata kuuza matunda.
 
Umetisha sana aisee.. Hizi huwa nafanya pia ndio maana nimedumu sana hapa.. Huwa naamka mapema sana kabla ya mtu yeyote, napukuta gari yake , naandaa madogo wenyewe akiamka wanakuta mambo mengi yasha kamilika..
Pia ukienda matembezi usipende kurudi usiku sana mpaka wanakufungulia geti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa unaishi kibwege sana,umeshindwa hata kusugua kina dada kucha mitaani,wake up your ass and go to work
 
Mkuu usichomoke kwa shemeji yako bila plan. Anza kwanza kutoa wazo la kuajiriwa umeshasaka kazi sana umekosa sasa fikiria kujiajiri kazi ikitokea fresh ila isiwe focus yako kwa sasa.
Sasa kwa sababu upo kwa shem wewe kwenye biashara una advantage mbili hulipi kodi wa hulipii chakula hapo umeshatoboa tayari maana huna expense yoyote so ukianza biashara faida yote unarudisha kwenye biashara.
Sasa cha kufanya tafuta biashara yoyote uanze kufanya ukiwa hapo hapo kwa shem jiwekee malengo lets say miaka 2 ya kufanya biashara pasipo kuwa na expense yoyote maana hulipi kodi na wewe kula na kulala ni bure pesa yote rudisha kwenye biashara na sababu unaishi vizuri na shem unaweza mshirikisha wazo lako la biashara akakusupport kidogo mtaji itakuwa vizuri.
Ukifanya hivyo utaniambia baada ya miaka hio uliojiwekea biashara itakuwa imeshasimama vizuri na faida inatoka vizuri sasa aga vizuri nenda kajitegemee maana pesa ya kodi na kila kitu utakuwa unapata mwenyewe kutokana na biashara yako

Usije kuondoka hapo bila plan utateseka sana mtaani ni pagumu mno kama huna plan usije ukajitwisha sasaiv mzigo mkubwa wa kujilisha na kujilipiA kodi wakati hata mishe ya uhakika huna hao wanaokudanganya sijui uchomoke ukajitegee sijui nn wanaongea bila plan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…