Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu

Hahahahahahha dahh binadamu raha sana
 
Kuna kipindi nilikuwa nakaa kwa ndugu yangu of course aliniita mwenyewe, ila nilitafakari siku moja nikajiuliza tu "huyu ndugu yangu si mwajiriwa tu je siku akilambwa mkono itakuaje", niliondoka faster na siku ambayo nilipopata ramani japo haikuwa ya maana nilipanga chumba na kujisemea moyoni tu hata kama ramani itachanika sintoenda kwa mtu zaidi ya kupambana na hali yangu kuliko kwenda kwa ndugu alafu yeye anapambana na hali yake na kunipambania.

Ni heri upange ghetto alafu ukizidiwa unakwenda kwa shemeji yako kupitia kwa dada yako unapata support hata ya unga unakwenda kupika kwako kwa kachumbari kuliko kukaa kwa shemeji ambae nae ni mwajiriwa tu...
 
Huyo mcute haelewi yaani saizi kila dili linaenda kwa connection yani hadi upate hata dili la kulima ni shida maana mwene shamba ana wake wa kumlimia,mwenye kumlimia ana wake anayemkubali kupiga jembe kwa hiyo wewe kumshawishi mkulima maswali ni kama interview
Hivi mnadhani hizo kazi ni nje nje tu? Fundi anakua anasaidia fundi wake kabisa ..hata huko kumejaa wanapeana wao kwa wao..maisha sio km unavyofikiria!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Flight dispatch boss.. Aviation
Jaribu kuongezea na fani nyingine inayoweza kuwa mbadala wa hiyo....au nenda veta soma hata fani ya mechanical,ingia gereji upate shilingi mbili tatu...huku ukisubiri kupata kazi uliyoisomea
 
Yaonesha wewe ni mstaaarabu pia maana unatoa lecture ambazo ni nadra mtu kuzi allert

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea point sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho mbaya tu mimi ndio sitoki sasa halafu nione utafanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jodoki Kalimilo, Aisee Point nimekubali.. Ndio najipanga kuna kiasi kikifika nafanya saving nitaondoka
Jipange bwana ila kikubwa ni kutoa support kwa kazi ndogo ndogo maana vijana wengi wanakosa point za msingi za kuendelea kuishi kwa ndugu zao kwa kushindwa kusaidia kazi ndogo ndogo za nyumbani yaani unakuta mwenyeji wake anatamfuta mtu anampa deiwaka ya kumwagilia maua au kukata michongoma wakati mtu yupo tu home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…