Uzoefu: Naishi kwa Shemeji yangu huu mwaka wa tatu



They say life has no map!you just get out and the dot will connect itself
 
Mmmmmmmmh lol sasa ushasema n kwao, akiwa kwako ufanye wew, me nkienda kwa shemej huwa xfanyagi kaz had natoka

Sent using Jamii Forums mobile app
It's wrong, ukiwa kwa mtu yoyote, onyesha kuwa wewe ni mtu responsible. Hata kama kuna wafanyakazi wa ndani, kula na kulala tu sio kitu kizuri tena kwa binti kama wewe, osha vyombo, saidia kupika, kufua nk.
 
Ongeza na hii hapa ,
1.)Hakikisha unaamka asubuhi mapema na kufanya usafi pale sebureni unapolala .
2.)Usikae sana nyumbani ,jifanye km mtu mwny mipango mingi .
 

Wengi watakukashifu kwa maana yanaweza kuwa hayaja wakuta..pole Sana aisee

Mimi nilikaa kwa shemeji zaman Sana udogon nikiwa shule ya msingi Tena wakat wa likizo ila machache niliyoona yalinifanya nichukie maisha ya kukaa kwa mashemej so kwako najua itakuwa mtihan Sana katika utu uzima huo
Kazana utoke hapo muda utakapofika,vumilia Hadi muda sahihi ukifika usije ukatoka kwa kulupuka ndgu
Ngarash.
 
We jamaa miaka mitatu alaf bado uko okey tu???
Mimi nilikaa kwa ndugu miezi 6(baba mkubwa), ilkuwa kama miaka 6.
Hakika lilikuwa gereza dogo na ukizingatia sikuwahi ishi kwa ndugu maisha yangu yote, nilivyomaliza chuo nikawa sina namna..

Kuna kipindi mama kasafiri, kakaa wiki akarudi anauliza bado tu hujapata kazi? Nikajisemea hapa nshachokwa, hapo nshahangaika sana natafuta mpka ualimu wa tempo nakosa dah [emoji3][emoji3].. Kuna kipindi nikataman mpka kuwa dalali. Nikikuta mahali kuna bango nyumba inauzwa, nami naenda kutangaza mitandaoni (nayo ikabuma).

Nilitaka kufanya biashara ya chips, mtaji laki 2 nikamwambia mzee akachomoa et hana hela. Yan nilipitia wakati mgumu sana mpka nakuja kupata kazi nilishukuru kutoka katika kile kifungo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahhaha kazi kweli kweli
 
Una mpango wa kuondoka hapo kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza pole sana mkuu.. Haya maisha ninepitia sana nimekaa na ndugu ndugu kibao nimejifunza mengi sana.. Mim nipo hapa pia sababu natafuta kazi sina namna ila hakika napenda sana nikae kwangu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…