Uzuri wa kuunda genge ili liwe kinga ya madaraka yako kuna siku linakugeuka wewe mfano Sudani

Uzuri wa kuunda genge ili liwe kinga ya madaraka yako kuna siku linakugeuka wewe mfano Sudani

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Napenda kutoa mfano mchache tu wengine mtaweka hapa.

Watawala wakishafika kujenga genge la kuwasimamia kila kona kuna siku watapenda nao nafasi uliyopo washike wao endapo mkipishana.

Swala la sudani lilikuwa funzo tosha ila ndio basi tena.

Hata kule congo laurent kabila nalo lilikuwa hivi kupelekea kifo ili hivi hivi.
 
Tetesi zimekuwa nyingi mno mitandaoni au watu wanataka kupiga coup d'etat?


Semeni mapema tuandae sherehe ya nguvu 🤣
 
Back
Top Bottom