Uzuri wa Paul Makonda ni kiongozi mwenye Mamlaka popote anafiti kundi kubwa la watu litahamia Arusha sasa

Nakala ya hicho kibali iko wapi?
 
Naunga mkono hoja,kwasisi tuliopitia na kuona haki zinavyonyang'anywa na Sheria kupindishwa,tunamwelewa sana makonda kitu anachokifanya
 
Naunga mkono hoja,kwasisi tuliopitia na kuona haki zinavyonyang'anywa na Sheria kupindishwa,tunamwelewa sana makonda kitu anachokifanya
Kumroga mtu huwa kunaanza na wivu kwanza. Kwa wivu ndio uchawi wenyewe. Mtu anamwonea wivu mwenzake anafanya vizuri au anasifiwa wakati yeye hawezi hapo ndio moyo wake huanza kumpinga kila analofanya mwisho wa siku anamloga.
 
Sifa ya Makonda ni kwamba anajua waganga wengi (wachawi) na ndio inamuweka karibu na viongozi wa CCM, hasa yule aliyepumzika kwa amani
 
Sifa ya Makonda ni kwamba anajua waganga wengi (wachawi) na ndio inamuweka karibu na viongozi wa CCM, hasa yule aliyepumzika kwa amani
Hakuna atakaye kukumbuka.
=========
Wachawi na waganga wamejaa CHADEMA. Kila kukicha ni kushambulia Makonda akiwa anafanya kazi zake badala ya kuweka Sera zenu mezani.

Wacheni wivu NyuChwa wa CHADEMA-Nyumbu Chawa.
 
Makonda alikuwa na sifa ya kumpeleka marehemu kwa waganga eti wakasaidie kusafisha ikulu eti ina majini
 
Kusems makonda ni mtu wa Mungu ni kumdharirisha Mungu, Mungu ni Mwizi, muuaji, msingiziaj, mpropaganda? Kama hao ndo watu wa Mungu basi Mungu wao ni Muhuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…