V.A.R YA CHAWA: NI uongo na aibu kumsifia Rais Samia kuhusu jina hili huko Ujerumani

V.A.R YA CHAWA: NI uongo na aibu kumsifia Rais Samia kuhusu jina hili huko Ujerumani

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Mr Njaakali hatari naaanza leo kukuleta segment matata iitwayo VAR YA CHAWA kutokana na ongezeko la kutisha la machawa na usambazaji wa kutisha wa fake news

Leo naanza na member aitwaye Crocodiletooth chawa moja hatari lenye blue tick liko verified yaani limepost uzi huu. Kwa bidii ya Rais wetu Mama Samia hatimaye tumepata mtaa wa jina letu nchini Ujerumani

Hili jina lipo tangu 2014 baada ya mji wa Hamburg kuingia makubaliano na jiji la Dsm mwaka 2010 wa kushirikiana ambapo mtaa uliokuwa ukiitwa Garden avenue jijin Dsm ulibadilishwa na kuitwa Hamburg avenue na jiji la Hamburg mwaka 2013 lili rename Hafen city district na kuitwa Dar es salaam Platz





Screenshot 2022-05-04 at 09.10.57.png
 
chawa wengine tujiandae, watu wanavilipuzi kama vyote
 
Na wewe watakuona una chuki, ukiingilia maslahi ya watu utashambuliwa mno!
 
Dawa ya Chawa ni kutembeza dudu killer sehemu wanapopata ili kufukuza Chawa wote.

Hongera Sana mleta mada kuwaumbuwa hawa machawa uchwara..
 
Ningekuwa mimi nimepigwa hili kombora, ningeleft jf mazima maana si kwa aibu hii
 
Chawa kama hao wanatia kinyaa! wanaharibu hata jf imekua kama arena ya michambo..sioni tena dhana ya greatthinkers.
 
Labda uliyemtaja amesharudi kwa Id nyingine na ana ku “zoom”
 
Back
Top Bottom