GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Lakini Mkuu, hizo safari zote zote si ndiyo mambo ya Vijana wayapendaoBeki wa kushoto wa Simba SC, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, huku nyota wa Yanga Stephane Aziz KI akiachwa tofauti na ilivyozoeleka.
Chanzo: mwanaspoti_tz
Popo mbili zavuka mto hua ni kama fuso iliyokata center bolt mara nyingi inakwenda upande upande tu kwani linajua nin popomazzzzPopoma unajionesha kama dishi limeyumba
Burkina Faso washafuzu afcon
Hizi mechi zilizobaki hawajaita mastaa
Wameitwa hayo Magarasa yakamilishe ratiba
aziz ki kaachwa v nouma kaitwa full stop.Popoma unajionesha kama dishi limeyumba
Burkina Faso washafuzu afcon
Hizi mechi zilizobaki hawajaita mastaa
Wameitwa hayo Magarasa yakamilishe ratiba
azizi kaachwa valentime nouma kaitwa fullstop.Muwe mnafanya tafiti kidogo kabla yakupost.
Mna maumivu bado hamjapona vzr ongezeeni dicloper ya sindano...Maumivu mnayo nyie mbumbumbu wa Rage
Timu ishafuzu afcon, wachezaji mastaa hawaitwi ili wakaimie