Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso, Aziz Ki aachwa

Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso, Aziz Ki aachwa

Mama angu ni marehemu mkuu
Kwahio nifanyaje sasa nimfufue.. mkuki kwa nguruwe. ..acha kuita watu waliozaliwa na mwanamke , garasa..mama zetu hawazai magarasa..acha usengeh..Huyo unayemuita garasa ni baba na mume ana familia inatemgemea kwa kazi hio ya mpira. Shenzy.
 
Popoma unajionesha kama dishi limeyumba
Burkina Faso washafuzu afcon
Hizi mechi zilizobaki hawajaita mastaa
Wameitwa hayo Magarasa yakamilishe ratiba
Popoma asaidiwe kuwahishwa hospital iliyoko dodoma
 
Kwenye mafanikio ya kila mwanaume nyuma yake kuna mwanamke (mama).
Kwenye anguko la kila mwanaume nyuma yake kuna mwanamke (mdangaji)
"Dar ni njema atakaye aje"
 
Amekiwasha leo hatariii....
Assist ya goli la 3..mpira safi kabisa kutoka kwake
 
Beki wa kushoto wa Simba SC, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, huku nyota wa Yanga Stephane Aziz KI akiachwa tofauti na ilivyozoeleka.

Chanzo: mwanaspoti_tz
Aziz K hata Yanga wanampanga kwa mazoea tu, alipaswa asugue benchi au apelekwe sehemu kwa mkopo
 
Back
Top Bottom