SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Amesema kama Kuna mtu wamfeel humu....upo single lakin Kuna mtu unamfeelTulio single pia tupo tunawafuatilia.
Hakuna ninae mfeel.Amesema kama Kuna mtu wamfeel humu....upo single lakin Kuna mtu unamfeel
Mitano tena 😂Nampenda mama samia salamu zimfikie popote alipo.
Kwanini jamaniwatu watatoana ngeu humu,
Nasubiria kama napendwa tusubiri au atakuwa amelalaUngeanza wewe!