Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

@SweetCandy nakupenda sana popote ulipo japo umewahiwa na Tate Mkuu

Eliza mpenzi wangu,najua hautumii jf na hauijui,ila tarehe 14 mwezi huu,jiandae kupokea bonge ya suprise kutoka kwangu,nakupenda sana, licha ya kuwa hapo nyuma nilikuwa na wapenzi wengi wakiwemo SALOME,LUCY,WINNIE, EMMY na SANDRA lakini sasa naupumzisha moyo wangu kwako. nakupenda sana.
 
Valentine hiyoo inakuja usikose maua na chocolate mwambie nakupenda ili muende VALENTINE.

Usikae mwenyewe kama mshumaa umejifungia, huu uzi kwa ajili yenu.

Fungukeni mukasherekee kwa pamoja.
kwa hiyo umewasha green light vijana wafunguke ili mkasherehekee?
 
pic-pesa.jpg
 
Back
Top Bottom