Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Kila nimpendaye humu kabebwa 😀
Mimi na Mzee mwenzangu Gharam tuna waangalia mkishikana mashati 😂
 
Nawatakia valentine njema Wana jamii forum wote wake kwa waume pamoja na familia zenu..... Bila kusahau wakaka na wadada,, kataa ndoa wote pamoja na ma jobless wote happy valentine kwenu nyote.
Asante ila umekuwa too general be specific na mmoja.
 
Back
Top Bottom