SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu mchane tu kwa kumwambia una yule mkulima wako wa Mbozi anayeitwa Lucas Mwashambwa . Kila mwisho wa mwezi lazima akuagizie maparachichi na ndizi kwenye basi la Rungwe Express.Fresh tu! Kwa sababu hela zenyewe huna.
Si tulikubaliana humu wote ni marobot jamani😂😂Seriously question, humu kweli kabisa watu hua wanakutana na kugongana kabisa kabisa au ni flirts tu za kwenye meseji? 🤔🙁
Swali zuri,Seriously question, humu kweli kabisa watu hua wanakutana na kugongana kabisa kabisa au ni flirts tu za kwenye meseji? 🤔🙁
Huyo si ulimkataa?Halafu mchane tu kwa kumwambia una yule mkulima wako wa Mbozi anayeitwa Lucas Mwashambwa . Kila mwisho wa mwezi lazima akuagizie maparachichi na ndizi kwenye basi la Rungwe Express.
Nataka nikutoe valentine day... nikupeleke mahala ukale kuku mzima wa kienyeji , kuku mkuno au kuku kidebe ushakula hio? chagua wewe mikocheni ,mlimani city au beach ukale kuku na upepo murua Wa bahari...Ninae
Mambo yasiwe mengi mkuu...Mambo yasiwe mengi
Uwii sipati picha baada ya game mnavyotusema na kutusimanga members wenzenu 🤣Tunakulana shost,yaan live😋
Hata uwe bibi kama unamoyo wa kubeba limtu una beba ....limtu I meanKwa sisi mishangazi inatuhusu hii kweli.
Mtumie dedication nzuri
Je ushawahi kuliamsha nje ya hapa!??Swali zuri,
Binafsi flirts za msg pekee siziwezi.
Utamu watu mliamshie na nje ya hapa
patoranking anasemaga "all for love"😘😘 It sounds good
Sahihi kabisa.Huyo si ulimkataa?
🤣🤣🤣🤣Uwii sipati picha baada ya game mnavyotusema na kutusimanga members wenzenu 🤣
Wenzako wote wameniogopa😹Qashy Lilith nimekupendea unavopenda hela😂❤️