Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Happy Valentine's [emoji3590] My Babe, my honey, my sweetheart, my Darling, nyonga mkalia ini, tajiri wangu, mkaka msafi, mpole, handsome wangu, mtu mwenye mapesa yake [emoji119][emoji119][emoji119] My Everything.

Nakupenda halafu nakupenda tena, kila siku kwetu ni Valentine, unayejua kunituliza na hasira zangu za Kikuryq na tabia zangu za Gemini. Unanivumilia mengi, tumevuka mabonde na milima.

Najua unanipenda, naona jitihada zako, vitendo vyako kwangu, nina bahati ya kipekee. Kumpata mtu ananidekeza na kunijali sana. Kuelekea Valentine's hii nasema Ahsante kwa kila kitu. Usipunguze bali uongeze mpaka nichanganyikiwe [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Ukipita hapa utasoma ujumbe wako, unajijua, Nakupenda [emoji179][emoji177][emoji307][emoji180][emoji3589][emoji182][emoji3590]
BL, Ungemtag basi tusindikize na kibati, si umesema ana mapesa,
Angetu spoil kidogo, huhuhuh [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Happy Valentine's ❤️ My Babe, my honey, my sweetheart, my Darling, nyonga mkalia ini, tajiri wangu, mkaka msafi, mpole, handsome wangu, mtu mwenye mapesa yake 🙌🙌🙌 My Everything.

Nakupenda halafu nakupenda tena, kila siku kwetu ni Valentine, unayejua kunituliza na hasira zangu za Kikuryq na tabia zangu za Gemini. Unanivumilia mengi, tumevuka mabonde na milima.

Najua unanipenda, naona jitihada zako, vitendo vyako kwangu, nina bahati ya kipekee. Kumpata mtu ananidekeza na kunijali sana. Kuelekea Valentine's hii nasema Ahsante kwa kila kitu. Usipunguze bali uongeze mpaka nichanganyikiwe 😅😅😅😅😅

Ukipita hapa utasoma ujumbe wako, unajijua, Nakupenda 💞💕💝💘❣️💋❤️
Atachukua muda kujibu maana simu naitengeneza imeharibika compressor, mpaka tuagize og 🤣🤣🤣🤣

Joking Bantu Lady
 
Atachukua muda kujibu maana simu naitengeneza imeharibika compressor, mpaka tuagize og 🤣🤣🤣🤣

Joking Bantu Lady
Hawezi jibu kamwe 😅😅😅😅 mauhusiano yetu ni nje ya JF. Leo nimeamua kumchokoza humu tu bonjov ichunguze vizuri unipe siri zote humo 🤣🤣🤣🤣🤣
cocastic nikimtag ataibiwa wee kuweza 😁😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom