Kwanza waombe msamaha wasukuma wote uliowachamba ili tukupokee kwa uncle S πΉπΉπΉWe niweke bwana mi nitakuwa namuangalia kama mu Arusha.
President Wine au Ma Lot wine , ipi inafaa hapo , RafikiMambo muishi mkeo happy valentine mtaenda wapi??
Tunachelewesha watoto shuleHaha
Samahani blaza sisi ni wanaume sio vizuri kugombana kwa ajili ya mtoto wa kike.Kabla yeye hajakutag, Nani unamwita mume wa mchongo?
ππ€©πWow π₯°π₯°π₯°π₯° Gamic niseme nini tena, kwanza ahsante sana, kwa kunifatilia na kusoma nimejisikia vizuri sana, barikiwa sana.
Kweli Gemini wengi wana maneno mazuri, mimi ni Gemini na ninatabia karibu zote za kigemini. Comment yako naitamani niiprint ππππππ
Umenifanya nitabasamu, nifurahi na kujisikia vizuri moyoni. Nyie raha ahsante tena na tena na pia karibu Gamic π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°
HakikaSamahani blaza sisi ni wanaume sio vizuri kugombana kwa ajili ya mtoto wa kike.
Zote nzuri sema nzuri zaidiPresident Wine au Ma Lot wine , ipi inafaa hapo , Rafiki
Ile nguvu sasa huruhusiwi kumuwekea madawa mtu ili uishi naye anatakiwa akupende jinsi ulivyooPole...
Ile nguvu yako huwezi vuta mmoja humu unayetaka kuwa nae?
π₯°π₯° kuanzia leo mimi ndiye mmiliki wa ziwa Victoria, nimepewa na my valentine hureeπfinancial services nakupenda sana hadi natamani nikumilikishe Ziwa VICTORIA na aina yote ya samaki wanaopatikana ziwani wawe wako peke yako.KARIBU.
View attachment 3234279 Thanks
πππππ»π»π»β€οΈπππ babe nataka packageWangu sweery njoo babe nikupe mapenzi matamu kama hadithi za sikununu.............π₯°π₯°π₯°π₯°π₯°π
Ok ,nitaitafutaZote nzuri sema nzuri zaidi
Mmmnh toka hukoπππ,. Unavyonipanga sasa kama sio weweπ