Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Happy Valentine's ❤️ My Babe, my honey, my sweetheart, my Darling, nyonga mkalia ini, tajiri wangu, mkaka msafi, mpole, handsome wangu, mtu mwenye mapesa yake 🙌🙌🙌 My Everything.

Nakupenda halafu nakupenda tena, kila siku kwetu ni Valentine, unayejua kunituliza na hasira zangu za Kikuryq na tabia zangu za Gemini. Unanivumilia mengi, tumevuka mabonde na milima.

Najua unanipenda, naona jitihada zako, vitendo vyako kwangu, nina bahati ya kipekee. Kumpata mtu ananidekeza na kunijali sana. Kuelekea Valentine's hii nasema Ahsante kwa kila kitu. Usipunguze bali uongeze mpaka nichanganyikiwe 😅😅😅😅😅

Ukipita hapa utasoma ujumbe wako, unajijua, Nakupenda 💞💕💝💘❣️💋❤️
Bantu Lady unajua kumpenda huyo nyonga mkalia ini .
Miongoni mwa watu ambao huwa nawafuatilia kimya kimya hapa jamiiforums nione wame-comment kwa namna gani ili nijifunze namna ya kuandika kwenye jamii , Bantu Lady takes the cake,comments zako huwa zinamuonekano mzuri. Kumbe wewe ni Gemini kama Donald Trump. Donald Trump aliwahi kusema " I know words.I have the best words."

Kuna dada mwaka jana tarehe 19th November 2024 aliwahi kuniambia eti "I am a true gentleman who deserves the finest in everything." Huyo dada kuna idea yangu aliipenda ndo maana akaniambia hivyo.Nilivyokuja kufuatilia kumbe yule dada ni Gemini. Gemini huwa mna maneno mazuri yanayoweza kumshawishi mtu.
 
Back
Top Bottom