Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Valentine hiyoo, kama unampenda mtu mwambie kupitia hii post

Nakupenda
Nakupenda tena
Nakupenda mno
Nakupenda zaidi
Wewe ni wakwanza na wamwisho kwangu
Kwanza kula mstari mmoja wa Bill Nenga:
valentine so issue kwetu si ni siku tu

Niseme kukupata wewe nilipata mwanamke bora sana sema umejichanganya me ni kataandoa utaweza
Weekend uje basi unipe ile staili ya kujificha uvunguni usilipe kodi 😀
Unajijua sina haja ya kukutaja
Cc: ......
 
Yangu kwa Raisi wetu Samia Hassan .Sina tu uwezo wa kukuletea japo uwa zuri na champaign.
 
Back
Top Bottom