Valentine inakaribia ila sina hata wa kuniletea ua

Shida ua tu na kulala south benga(beach), mie najitolea kufanikisha hayo.
Tanguliza muamala kwanza nkafanye booking...[emoji85][emoji85] halaf usije uliza uliza progress...ww jiandae tukutane tu ucku wa valentine utanikuta pale Getini
 
Yaani,unakuta watu wengine mapenzi ndio yanawatafuta nakuwalilia ,Mda ndio hawana,mapenzi ndio yanawasumbukia,kama hawa Akina mjomba,wengine SASA wanalialia Hadi huruma kujipendekeza wapi,sijui ninjia ipi takufata
Ukimpenda mtu shuti kujipendekezaaa
 
Tanguliza muamala kwanza nkafanye booking...[emoji85][emoji85] halaf usije uliza uliza progress...ww jiandae tukutane tu ucku wa valentine utanikuta pale Getini
Booking tayar, tukutane getini.

Bong dar es Salaam, prof jizze.
 
mmmh madam, mama alikusomesha mpaka Masters halafu Mungu akasema na roho yake.
Mama akamwachia kaka ake (mjomba) akulee ila mbona Tena mjomba anakula badala ya KULEA?

#YNWA
 
Dada yangu bora ubaki hivyo hivyo
Mapenzi ni mateso sana
Mapenzi ni kuteseka
Mapenzi ni mpasuko wa moyo
Mapenzi ni giza zito
Mapenzi ni kadhia
Mapenzi ni kutoa na kujumlisha kisha ugawanye kwa sifuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…