Valentino Mashaka na Che Malone wamerudisha huu ushangiliaji classic

Valentino Mashaka na Che Malone wamerudisha huu ushangiliaji classic

Nasikia alinuna bana hata siku ya ngao ya jamii aligomea kuvaa medali...
Kisa hakupangwa kikosi cha kwanza
Hizo ndo dalili za uzee...😃😃😃kususa susa
Huoni juzi alipangwa?? Kashaanza kuwa mkubwa kuliko utopolo..
Afu hata furaha hana aisee.
Wale wazee tunawatafuta sana waingie kwa 18 yetu
 
Hata sura yake ina umasai flani 😃😃😃
Jana kakiwasha mnooo kwa sasa anacheza kwa kujiamini
Na combinenga yao imetiki...yeye Hamza na yeye na Karobue sijui anaitwa hivyo
Yees. Pale safu ya nyuma combo ya Malone/Chamou/Hamza ina utulivu sana. Safu ya mbele ikiclick tu tutakata vilimilimi vyote
 
Nasikia alinuna bana hata siku ya ngao ya jamii aligomea kuvaa medali...
Kisa hakupangwa kikosi cha kwanza
Hizo ndo dalili za uzee...😃😃😃kususa susa
Huoni juzi alipangwa?? Kashaanza kuwa mkubwa kuliko utopolo..
waliogopa asiwalaani maana laana za wazee sio nzuri
 
Akili 2 fc....
Hata manara aliwashangaa neno lake likatimia...
Kuwa hakuna wenye akili Yanga zaidi ya baba yake na Jakaya...😆😄😃

Na kudhihirisha kuwa ni kweli mitusi yote aliyowatukana akiwa simba lakini bado leo wanamsujudia.
 
Back
Top Bottom