Vanessa Mdee: Jux hawezi kitu kitandani

Sawasawa katoto.
 

Dimond kapoteza nyota anapiga show watu 70k na sio Tz ... acheni utani
 
Kweli don't judge the book from its cover...

Kwa muonekane we nje Vanessa anaonekana ni mwanamke makini, mstaarabu na ambae hana mambo ya ajabu... kumbe ni tofauti kabisa... Hatari sana... zote hasira za kuachwa...



Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…