Queenever1
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 422
- 815
DohAnakua hawezi kujikunja,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DohAnakua hawezi kujikunja,
WE jamaa vip?Uongoooohhhhhh nakataa napingana na vanesa sio kweli jux fundi sanaa
Huyo manzi ana upini gani..embu kua serious bahariaHook(edited)
Mbaya zaidi kwa yule uliempendaaaa...
Wewe uko singleee, yeye ana demuu..
Pini sanaa...Pini sanaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukipatiwa jibu niTag maaMi nataka mnielekeze, mwanaume gogo kitandani,,anakuwaje,,
Ntajuaje kuwa huyu ni gogo,
Ama,watuelewesheUkipatiwa jibu niTag maa
[emoji23][emoji23] washangaa huoni avatar inajielezeajeWE jamaa vip?
ni bwa bwa???Akihojiwa EATV vanessa mdee amedai licha ya kuwa na kifua kikubwa bwana Jux kitandani alikua kama gogo.
Uzi tayari.
Haeleweki huyu mtu. Ngoja nicheki vizuri Avatar[emoji23][emoji23] washangaa huoni avatar inajielezeaje
Sawasawa katoto.Jux ni mtu tofauti sana .
Amevumilia mengi huyo vanessa ni mpumbavu hajatulia anajiona sana naalikuwa anamdharau jux anatembea na mastaa wakimarekani ila hajajua moja alipoteza nyota yake kama daimond alivyopoteza nyota yake .
Binadamu tumeumbwa kutotambua nyota yako unaenda kwa mikosi tu watu wasiokudhamini watu wasiokujali na unamtegemea asiyekuona unafaa.
Ndio maisha lakini vane baibai nyota yako.
Utaangalia mwa macho chote ulichovuna naye kinaliwa na mwingine isitoshe hicho kifua ulichokua unakilalia wakati umeshindwa jambo hakipo tena .
Mwendo huyo masela wanampelekaHaeleweki huyu mtu. Ngoja nicheki vizuri Avatar
Kuna wakuu Kama wawili waliandikaga humu kua jux ni mwendo a.k.a bwabwani bwa bwa???
Ndo staili gani hii mkuu??Kwa hiyo sisi ambao hatuna vifua ndo inasadikika hatupo vizuri
Angekuja kwangu nimpe staili ya idondokee dirishani aipate fresh yake
Duuh! Kweli Jf imevamiwa asee! Kumbe jamaa pungazezeMwendo huyo masela wanampeleka
Tena yuko proud hasaDuuh! Kweli Jf imevamiwa asee! Kumbe jamaa pungazeze
Jux ni mtu tofauti sana .
Amevumilia mengi huyo vanessa ni mpumbavu hajatulia anajiona sana naalikuwa anamdharau jux anatembea na mastaa wakimarekani ila hajajua moja alipoteza nyota yake kama daimond alivyopoteza nyota yake .
Binadamu tumeumbwa kutotambua nyota yako unaenda kwa mikosi tu watu wasiokudhamini watu wasiokujali na unamtegemea asiyekuona unafaa.
Ndio maisha lakini vane baibai nyota yako.
Utaangalia mwa macho chote ulichovuna naye kinaliwa na mwingine isitoshe hicho kifua ulichokua unakilalia wakati umeshindwa jambo hakipo tena .
Ohoooo!!!!Wakt mwngn Hawa madem bora m unganishwe kifurushi cha tigo tigo
Wawe na adabu
Ova
Kweli huyu dada kaishiwa SERA!!
Ila sio yeye, tatizo ni nature ya kabila lake....always ipo wazi, "wanawake wa KIPARE, wana matatizo....".