Vanessa Mdee na Rotimi waonesha sura za watoto wao

🤣🤣🤣🤣 Nimecheka sanaaaaaa.

Ulichopitia huwa anakipitia, kuna siku anakutanaga na hadi PM 7 halafu mada tofauti.
Sema mi nae ni team kuchat hivyo tunaenda sawa.
Hapo akijibu short ni msala

Mkimaliza mada mda wa kuagana inaibuka nyingn

Mnachart jambo flan Kuna lingine linaibukia humo mpaka jioni upo hoy sana 🙌🙌🙌🙌
 
Hapo akijibu short ni msala

Mkimaliza mada mda wa kuagana inaibuka nyingn

Mnachart jambo flan Kuna lingine linaibukia humo mpaka jioni upo hoy sana 🙌🙌🙌🙌
Dah kweli una experience maana huwezi kujua haya hivihivi.

Ukitumiwa gazeti unajipinda kujibu gazeti, hakuna kujibu short unakata stim.
Kuna siku huwa tunachat kutwa nzima hadi usiku na vya kuongea haviishi! Lols
 
Dah kweli una experience maana huwezi kujua haya hivihivi.

Ukitumiwa gazeti unajipinda kujibu gazeti, hakuna kujibu short unakata stim.
Kuna siku huwa tunachart kutwa nzima hadi usiku na vya kuongea haviishi! Lols
Ndo maana nakwambia namuonea huruma huyo jamaa, mara mia mwenye demand ya hela ukimpa anatulia Nyie wa mda apana Kwa kwel
 
Ndo maana nakwambia namuonea huruma huyo jamaa, mara mia mwenye demand ya hela ukimpa anatulia Nyie wa mda apana Kwa kwel
Hawa wanaohitaji muda ndio wenye mapenzi ya kweli sasa, wanaohitaji pesa ndio hawa kila siku wanalalamikiwa na wanaume kwamba hawana mapenzi ya kweli, tatizo hamueleweki mkipendwa shida msipopendwa napo shida duuh
 
Vanessa Mdee ni Mtoto wa Chuga, mjanja sio boya

Exposure ipo pia

Big Up kwa Vanessa & Rotimi kwa lifestyle yao
 
Kina Juma tumekukosea nini?
 
We ni Msukuma sio....

We mbona uko mshamba hivii!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…