VAR kutumika kwenye mchezo wa CAFCC kati ya Simba SC dhidi ya Orlando Pirates Uwanja wa Benjamin Mkapa

Nakumbuka Mwigulu aliposema serekali italeta VAR makolo na mlinzi wao TFF ndio walishinda mitandaoni wakipinga.
Leo imekuaje?

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Kwani inaletwa kwa ajili ya Ligi Kuu Tanzania?

Hiyo ni CAF wenyewe kwenye michezo yote ya robo fainali CAFCL na CAFCC.

Mbona ni ngumu kuelewa..! Walipinga walikuwa na hoja watengeneze kwanza viwanja kwa kuwa asilimia kubwa viwanja ni vibovu, ukitoa Mkapa, Azam Complex na CCM Kirumba, sasa kama ikifungwa je hivi viwanja vingine hawana haki ya kupata maamuzi sahihi?
 
Akili za Manara huwa hazijifichi kamwe..!
 
bado sijajua, hiyo VAR baada ya mechi itaendelea kuwepo?
 
Maana yake ni kwamba Mechi za Utopolo hazina hadhi ya VAR?
 
Duuh 2023? sio kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…