Ni walokole TU wanaoamini kuombewa na kupona yeye siyo mlokoleSi wamuombee apone,jina la yesu lashinda kila kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni walokole TU wanaoamini kuombewa na kupona yeye siyo mlokoleSi wamuombee apone,jina la yesu lashinda kila kitu
A real catholic!!!.... Namsubiri mfuasi wa dini ya MwanamkeUmechanganyikiwa.
Papa Francis alirithi kiti cha mtume Petro pale Vatican(Holy-see) tena alitoa moshi mweupe.
Mt.16:18=Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Mtume Petro ndiye aliyekuwa Papa wa kwanza wa kanisa la ki-ulimwengu katoliki.
Yohane 13:1 = Mwenyezi-Mungu amewapenda watu wake katika ulimwengu ( Watu wake Mwenyezi-Mungu ni Wakatoliki.Neno Catholic huwa linamaanisha Ulimwengu), naam aliwapenda upeo. ( alitupenda upeo ndio maana wakatoliki huwa tuna Akili-kubwa) akamtoa mwanae wa pekee ili ulimwengu upate kukombolewa.
Kwa hiyo Papa Francis na wakatoliki tumesha mpokea Yesu Kristo toka enzi za mitume wake.Tuna mkiri na kumsifu Yesu Kristo katika kila Dominika.
Hata ikitokea Mungu akamchukua,Papa Francis ataenda mbinguni.Na atakuja Papa mwingine atakalia kiti cha mtume Petro ili Yesu Kristo aendelee kulijenga kanisa lake juu ya mwamba huo.
Kwani freemasons nao wanaombewa?Taarifa kutoka makao makuu ya kanisa katoliki St Peter's basilica huko Vatican inasema papa Francisco kwa sasa yupo katika Hali mahututi kutokana na ugonjwa wa mapafu unaomsumbua.
Tumuombee kiongozi wetu wa kiroho amani ya Bwana itawale aweze kupata nafuu
View attachment 3245826
kwamba wewe na wenzako ndo mnaujuwa ukristo kumshinda samaki(papa).Mungu amsaidie aokoke kabla ya kutangulia mbele za haki. how i wish ningekuwa karibu naye nimwambie hili.
Popote mlipo, mauti yatakufikieni, hata kama mtakuwa katika ngome zilizo madhubuti..."Fictional Pope alishakufaga.
Kwahiyo wao hawaendagi hospital wakiumwa bali wanaombewa na kupona?Ni walokole TU wanaoamini kuombewa na kupona yeye siyo mlokole
John 3:3,5Hapana mm sio msabato
Navyojua hakuna mwema chini ya jua hili hata Yesu alisema alipoulizwa yeye ni mwema!
Kuokoka sijaona mahala Yesu kasema kuokoka sana sana alisisitiza tubuni na kuiamini injili ufalme wa Mungu umekaribia
Haya.Huyu Francis alikuwa anafuata order tu kilazima toka Black pope au mkuu wa order ya majesuits ,huyu mkuu waJesuits ndio real pope aka black pope ,ndio director halisi wa shughuli za kijasusi na utawala ndani ya kanisa ,huyu pope anayevaa gauni jeupe ni symbolic Tu .
Pope halisi ni huyu Jesuit mkuu anayevaa gauni jeusi , huyu mtu ni hatari sana ,na always mapapa ambao wamekuwa wakihitilafiana na hawa majesuits wamekuwa wakifa bifo vya kutatanisha sana , kupewa sumu ,kama walivyofanya kwa pope John hasa alipoanza kufukua mirija ya uchafu wa money laundering na wizi wa pesa za kanisa ( scandal ya Banco Ambrosiano ) huko Italy ,issue ya kanisa kushirikiana na vikundi vya wahalifu sugu aka mafioso aka Cosanostra huko Italy enzi hizo
Jesuits Ndio wazee wa kazi chafu na agenda zote za kishetani ndani ya kanisa .
Na ndio walio nyuma ya agenda ya lgbtq ndani ya kanisa ,na bila shaka anayekuja ndio atakuwa real puppet wa hawa washenzi
ndiokwamba wewe na wenzako ndo mnaujuwa ukristo kumshinda samaki(papa).
dhehebu langu nimeletewa na katoliki? hapo ndipo mnapokosea, kivipi? halafu, aokoke atubu dhambi za kuabudu masanamu ya maria na yesu, atubu kusali kwa kupitia jina la maria na yosefu badala ya Jina la Yesu Kristo, pia, atubu kwa kuwa na kigugumizi kukemea ushoga. kwa kifupi yeye na wakatoliki wote duniani mnahitaji kuokoka.😁Mswahili katika ubora wake.
Hako 'ka kijidhehebu' kako wamekuletea wao, leo hii ukawafundishe cha kufanya!
Kwa nn wanachagua vizee kuwa papa?Taarifa kutoka makao makuu ya kanisa katoliki St Peter's basilica huko Vatican inasema papa Francisco kwa sasa yupo katika Hali mahututi kutokana na ugonjwa wa mapafu unaomsumbua.
Tumuombee kiongozi wetu wa kiroho amani ya Bwana itawale aweze kupata nafuu
View attachment 3245826
Tumuombee Papaa,Nimeona Hali si shwari aseeh .....
Wee amka, utajikojolea buree!! Unachekesha wee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tutamchinja mmoja hadharani kama mbuzi tuone kama utaendelea kuishi kwa amani
Huyo Papa anatakiwa aongozwe Sala ya Toba. Maana aliyumba ktk kusimamia misingi ya Biblia.Taarifa kutoka makao makuu ya kanisa katoliki St Peter's basilica huko Vatican inasema papa Francisco kwa sasa yupo katika Hali mahututi kutokana na ugonjwa wa mapafu unaomsumbua.
Tumuombee kiongozi wetu wa kiroho amani ya Bwana itawale aweze kupata nafuu
View attachment 3245826
Wewe ndiye hujui Maandiko. Masuala ya Ufalme wa Mungu hayarithiwi. Ni Mungu mwenyewe ndiye humteua mtu. Musa alirithi kwa nani? Je Eliya alirithi kwa nani? Je Petro alirithi kwa nani? Hicho cheo cha Papa sio cha ki Boblia na hivyo siobcha Kikristo. Ni cheo cha kikatoliki yaani cha dini ya Katoliki. Ndio maana mapokeo mengi ya Katoliki siyo ya kibiblia. Mfano tu kama wanadai kuwa Papa alirithi kiti cha Petro Je Petro alikuwa mkatoliki? Je petro hakuoa?Umechanganyikiwa.
Papa Francis alirithi kiti cha mtume Petro pale Vatican(Holy-see) tena alitoa moshi mweupe.
Mt.16:18=Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda. Mtume Petro ndiye aliyekuwa Papa wa kwanza wa kanisa la ki-ulimwengu katoliki.
Yohane 13:1 = Mwenyezi-Mungu amewapenda watu wake katika ulimwengu ( Watu wake Mwenyezi-Mungu ni Wakatoliki.Neno Catholic huwa linamaanisha Ulimwengu), naam aliwapenda upeo. ( alitupenda upeo ndio maana wakatoliki huwa tuna Akili-kubwa) akamtoa mwanae wa pekee ili ulimwengu upate kukombolewa.
Kwa hiyo Papa Francis na wakatoliki tumesha mpokea Yesu Kristo toka enzi za mitume wake.Tuna mkiri na kumsifu Yesu Kristo katika kila Dominika.
Hata ikitokea Mungu akamchukua,Papa Francis ataenda mbinguni.Na atakuja Papa mwingine atakalia kiti cha mtume Petro ili Yesu Kristo aendelee kulijenga kanisa lake juu ya mwamba huo.
Unaleta maneno ya kitabu ambacho kimeletwa na adui wa Jibril hahahaha ambaye ni iblis. Hahahaha so uislam ni dini yake Iblis.Surat Aal-Imran (3:85)
"Na anayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake, naye Akhera atakuwa miongoni mwa wenye hasara."
Hata Mudy alikufa na hata nyie Green Guard mtakufa .....endeleeni kuwaua chadema.Popote mlipo, mauti yatakufikieni, hata kama mtakuwa katika ngome zilizo madhubuti..."
(Qur'an 4:78)
Aya hii inasisitiza kuwa hakuna mtu anayeweza kuepuka kifo, hata akijificha au kujilinda kwa namna yoyote ile.
Popote mlipo, mauti yatakufikieni, hata kama mtakuwa katika ngome zilizo madhubuti..."
(Qur'an 4:78)
Aya hii inasisitiza kuwa hakuna mtu anayeweza kuepuka kifo, hata akijificha au kujilinda kwa namna yoyote ile.