Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,874
- 3,215
Kuna wanaokulia maisha duni,lakini wakajengewa msingi wa maadili na ari ya upambanaji. Wanakuwa watu wa mfano sana,ila kwa huyu .......hata sielewi aseeMaisha ya kukulia kulala kitanda ambacho uvungini anaatamia kuku ,ni tabu sana .
Ziro ni mbaya sana .Elimu ni mhimu maishani
Hivi huyu ndio alisema ameongea na Mungu juzi ?
Kiongozi mkuu a navaa kihuni hata wahuni Leo hawajavaa kama yeyeKwani kanisani kunatakiwa kuvaliwa mavazi gani?
hii naitaga ni zzeerroo brain yaani akili ya kuku,uyu jamaa atakuwa anadharau wachaga,,,dawa yake nikupiga chupi chini ,avunjike huo mguu,Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar ameingia ibadani katika kanisa kuu la KKKT hapa Moshi akiwa amevaa Suruali iliyozua minong'ono kuwa ya KIHUNI.
Baadhi ya Waumini waliopo hapa Ibadani wamesikika wakiuliza je angekufa babake angekwenda na vazi kama hilo?
Wengine walisikika wakisema vazi hilo hata katika mavazi yanayotakiwa kwenye Ofisi za Umma hayatakiwi iweje avae kanisani?
Waumini wengi wamesikika wakihoji kiwango cha nidhamu alichoonyesha Mkuu huyu kupitia vazi lake.View attachment 1092613
on bed tena hospital,ac imenipa matatizo YOU KNOWLe Mutuz MTU kubwa uko wapi ona mdogo wako anadhalilika.
Kiongozi lazima ujiheshimu maadili ni muhimu anavaa masuruali yaliyochanwa chanwa kwenye magoti kama wale wavuta bangi wa stendi tofauti ikowapi?Na hilo ndo lengo la swali langu.
Sijui kwa sababu kafa Bwana mengi ndio maana isifae kuvaa jeans.
Ila siku za kawaida watu wanaenda kumuabudu Mungu kanisani na majeans yanavaliwa hayakatazwi.
Ina maana mengi ni Mkubwa kuliko Mungu wa siku za kawaida za ibada pale kanisani kiasi kwamba isifae kuvaa jeans kwenye msiba wake?
Vaa chupi tu basi uingie nayo kama mavazi yote ni ruksaNi kweli, kanisani mavazi yote ruksa, iwe jeans safi au iliyopasuka ni ruksa tu mwanangu, mavazi kitu gani bhana
Kiongozi lazima ujiheshimu maadili ni muhimu anavaa masuruali yaliyochanwa chanwa kwenye magoti kama wale wavuta bangi wa stendi tofauti ikowapi?
Anayetoa madaraka kwa watu kama hawa yeye ni hovyo zaidi.Hivi huyu ndio alisema ameongea na Mungu juzi ? hakika hawa vijana wanaopewa madaraka awamu hii ni wa ajabu sana !
Aliyekwambia haikemewi siku za kawaida nani?wewe unasali Kanisani wewe ili uyasikie yakikemewa au kwa sababu umesikia leo kwenye vyombo vya habari ndo unakaza shingo hapa kung'ang'ana haikemewi siku za kawaida?
Na umehudhuria misiba mingapi ukasikia hili linakemewa zaidi ya kusikia leo?shida unatafuta opportunity ya kuonekana star wa mchezo wa imani mbele ya Mungu huku ukibishiniacho hukijui,naona uzi umejaa post zako ukijifanya kujua sana.
Take it easy,siyo imani yako kaa tafuta kahawa ilipo ujiburudishe uwe msomaji busara ni pamoja na kukaa kimya.
Kwa hiyo kuvaa vile sio kwamba haifai kanisani tu bali hata kuvaa popte pale kwenye jamii na haifai kuvaa kwa yeyote yule au siyo mkuu?Kiongozi lazima ujiheshimu maadili ni muhimu anavaa masuruali yaliyochanwa chanwa kwenye magoti kama wale wavuta bangi wa stendi tofauti ikowapi?
Kwa hiyo kwa leo ililuwa asivae vile au asivae vile popote akiwa katika tukio la kijamii?Kiongozi mkuu a navaa kihuni hata wahuni Leo hawajavaa kama yeye
Wewe unashinda chumbani kwako na boksa au unashinda na jeans chumbani kama makonda?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani uko serious unauliza swali la kijinga hivii???? Wewe msikitini unaendaga na boksa kama unavyoshinda chumbani kwako???
Msiba wa kanisani mipaka yake ya mavazi ikoje?Wee jamaa hujielewii kabisaaa... Ni mpumbavuu! Kama hujui suala la mipaka ya mavazi rudi la saba b... shwain kabisaaa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
NI VAZI wakilishi kwa serikali ya TanzaniaLeo Mkuu wa Mkoa wa Dar ameingia ibadani katika kanisa kuu la KKKT hapa Moshi akiwa amevaa Suruali iliyozua minong'ono kuwa ya KIHUNI.
Baadhi ya Waumini waliopo hapa Ibadani wamesikika wakiuliza je angekufa babake angekwenda na vazi kama hilo?
Wengine walisikika wakisema vazi hilo hata katika mavazi yanayotakiwa kwenye Ofisi za Umma hayatakiwi iweje avae kanisani?
Waumini wengi wamesikika wakihoji kiwango cha nidhamu alichoonyesha Mkuu huyu kupitia vazi lake.View attachment 1092613