Ni kweli asisumbuliwe maana hata msikitini huwa mnagonoka bila nguo ya ndani na mnyaazi hawafanyi lolote!Mbona yesu ana hadhi lakini nyie mnatuaminisha kua alisulubiwa kavaa nepi, ilikuaje mungu akaruhusu hili.
Kuna tukio zito kama lile la msalabani.
Kama makonda aliweza kuongea na mengi akiwa hai kavaaa jeans akifa ndo aonyeshe doublestandard.
Kanisani hakuna vazi rasmi ndo maana wadada wanaenda wamevaa vimini, na huwa hawakemewi.
Msimuandame makonda kwa issue ambaza ni desturi.
Makonda ni Genius. Hata kauli zake inabidi umsikilize ukiwa na positive mind ndo utamuelewa.
Hakuna aliyehoji kama ni ke au me??Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar ameingia ibadani katika kanisa kuu la KKKT hapa Moshi akiwa amevaa Suruali iliyozua minong'ono kuwa ya KIHUNI.
Baadhi ya Waumini waliopo hapa Ibadani wamesikika wakiuliza je angekufa babake angekwenda na vazi kama hilo?
Wengine walisikika wakisema vazi hilo hata katika mavazi yanayotakiwa kwenye Ofisi za Umma hayatakiwi iweje avae kanisani?
Waumini wengi wamesikika wakihoji kiwango cha nidhamu alichoonyesha Mkuu huyu kupitia vazi lake.View attachment 1092613
Bora angevaa anaenda beach.Kiongozi lazima ujiheshimu maadili ni muhimu anavaa masuruali yaliyochanwa chanwa kwenye magoti kama wale wavuta bangi wa stendi tofauti ikowapi?
Hata Karimjee aliharibu!!mbona alipotoa salam za mkoa ukumbi wa kalimjee hamkusifia lile vazi?
Wewe ni wale wale akina zero.Mbona yesu ana hadhi lakini nyie mnatuaminisha kua alisulubiwa kavaa nepi, ilikuaje mungu akaruhusu hili.
Kuna tukio zito kama lile la msalabani.
Kama makonda aliweza kuongea na mengi akiwa hai kavaaa jeans akifa ndo aonyeshe doublestandard.
Kanisani hakuna vazi rasmi ndo maana wadada wanaenda wamevaa vimini, na huwa hawakemewi.
Msimuandame makonda kwa issue ambazo ni desturi.
Makonda ni Genius. Hata kauli zake inabidi umsikilize ukiwa na positive mind ndo utamuelewa.
Punguza uK, tumeangalia live mavazi aliyovaa no hayo. Sasa kama unataka upokonye bahati yake endelea kutuonyesha msambwanda wako.Editing ya kijinga sana ,chunguza mikono ndio utajua mleta post ni gay
..................Nashindwa kuelewa hasa content ya swali lako ktk hiyo paragraph ya mwisho ktk post yako,hivi mkuu kutokana na swali lako hilo unategemea nikujibu nini nikiwa kama muumini Mkristo?Tuishie hapa mkuu!Mbona unapata tabu mkuu kuyasema yote hayo na kuwaza mambo meengii juu yangu.
Unanizuwia nisiongee kwa kuhofia hisia zako kwangu mkuu?
Kwa hyo unasemaje sasa kwamba Mungu yupo kanisani na nje ya kanisa au siyo?
Kuna dressing code ukishakua Kiongozi ona wenzie viongozi walivyovaa. Hata ukiingia ofisi za serikali Kuna tangazo la namna ya kuvaa. Kwa kanisa au nyumba za ibada sio zote Wana andika ila waumini wanakuja wanaojielewa aiseeKwa hiyo kwa leo ililuwa asivae vile au asivae vile popote akiwa katika tukio la kijamii?
Kama hujui la kujibu basi huwezi kuelewa kwa nini nimeuliza...................Nashindwa kuelewa hasa content ya swali lako ktk hiyo paragraph ya mwisho ktk post yako,hivi mkuu kutokana na swali lako hilo unategemea nikujibu nini nikiwa kama muumini Mkristo?Tuishie hapa mkuu!
Alamsiki!!!
Hata kitandani anahitaji msaada wa maabara shemKila sehemu Makonda ni hovyohovyo
Ndo mana na mimi nikaandika kwa niaba ya mtoa mada kwamba suala la maadili lisiangaliwe katika nyumba za ibada tu bali hata katika jamii tunayoishi.Kuna dressing code ukishakua Kiongozi ona wenzie viongozi walivyovaa. Hata ukiingia ofisi za serikali Kuna tangazo la namna ya kuvaa. Kwa kanisa au nyumba za ibada sio zote Wana andika ila waumini wanakuja wanaojielewa aisee
Kama ambavyo nilisha kupuuza wewe mkuu!Nilisha mpuuuza huyu mtu siku nyingi baada ya kujiridhisha kuwa vyeti sio vyake.
Vipi dada ulishamshuhudia hapo kitandani.Hata kitandani anahitaji msaada wa maabara shem
Amen SirKama hujui la kujibu basi huwezi kuelewa kwa nini nimeuliza.
Nakutakia usiku mwema tulivu wewe na familia yako Mungu awafunike kwa upendo wake.
Ok pa1Amen Sir
Iwe kwako pia.
Muhamad[emoji57][emoji57]Msiba wa kanisani mipaka yake ya mavazi ikoje?
Na hiyo mipaka imewekwa kwa ajili ya kumheshimu nani?