Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

Mbona yesu ana hadhi lakini nyie mnatuaminisha kua alisulubiwa kavaa nepi, ilikuaje mungu akaruhusu hili.

Kuna tukio zito kama lile la msalabani.

Kama makonda aliweza kuongea na mengi akiwa hai kavaaa jeans akifa ndo aonyeshe doublestandard.

Kanisani hakuna vazi rasmi ndo maana wadada wanaenda wamevaa vimini, na huwa hawakemewi.

Msimuandame makonda kwa issue ambaza ni desturi.

Makonda ni Genius. Hata kauli zake inabidi umsikilize ukiwa na positive mind ndo utamuelewa.
Ni kweli asisumbuliwe maana hata msikitini huwa mnagonoka bila nguo ya ndani na mnyaazi hawafanyi lolote!
 
Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar ameingia ibadani katika kanisa kuu la KKKT hapa Moshi akiwa amevaa Suruali iliyozua minong'ono kuwa ya KIHUNI.

Baadhi ya Waumini waliopo hapa Ibadani wamesikika wakiuliza je angekufa babake angekwenda na vazi kama hilo?

Wengine walisikika wakisema vazi hilo hata katika mavazi yanayotakiwa kwenye Ofisi za Umma hayatakiwi iweje avae kanisani?

Waumini wengi wamesikika wakihoji kiwango cha nidhamu alichoonyesha Mkuu huyu kupitia vazi lake.View attachment 1092613
Hakuna aliyehoji kama ni ke au me??
 
Kiongozi lazima ujiheshimu maadili ni muhimu anavaa masuruali yaliyochanwa chanwa kwenye magoti kama wale wavuta bangi wa stendi tofauti ikowapi?
Bora angevaa anaenda beach.

Huwezi vaa vile unaenda mzika mtu uliyempenda.Ndio maana ata wanawake wanajifunika khanga wakienda msibani.
 
Mbona yesu ana hadhi lakini nyie mnatuaminisha kua alisulubiwa kavaa nepi, ilikuaje mungu akaruhusu hili.

Kuna tukio zito kama lile la msalabani.

Kama makonda aliweza kuongea na mengi akiwa hai kavaaa jeans akifa ndo aonyeshe doublestandard.

Kanisani hakuna vazi rasmi ndo maana wadada wanaenda wamevaa vimini, na huwa hawakemewi.

Msimuandame makonda kwa issue ambazo ni desturi.

Makonda ni Genius. Hata kauli zake inabidi umsikilize ukiwa na positive mind ndo utamuelewa.
Wewe ni wale wale akina zero.
 
Editing ya kijinga sana ,chunguza mikono ndio utajua mleta post ni gay
Punguza uK, tumeangalia live mavazi aliyovaa no hayo. Sasa kama unataka upokonye bahati yake endelea kutuonyesha msambwanda wako.
 
Mbona unapata tabu mkuu kuyasema yote hayo na kuwaza mambo meengii juu yangu.

Unanizuwia nisiongee kwa kuhofia hisia zako kwangu mkuu?

Kwa hyo unasemaje sasa kwamba Mungu yupo kanisani na nje ya kanisa au siyo?
..................Nashindwa kuelewa hasa content ya swali lako ktk hiyo paragraph ya mwisho ktk post yako,hivi mkuu kutokana na swali lako hilo unategemea nikujibu nini nikiwa kama muumini Mkristo?Tuishie hapa mkuu!

Alamsiki!!!
 
Kwa hiyo kwa leo ililuwa asivae vile au asivae vile popote akiwa katika tukio la kijamii?
Kuna dressing code ukishakua Kiongozi ona wenzie viongozi walivyovaa. Hata ukiingia ofisi za serikali Kuna tangazo la namna ya kuvaa. Kwa kanisa au nyumba za ibada sio zote Wana andika ila waumini wanakuja wanaojielewa aisee
 
..................Nashindwa kuelewa hasa content ya swali lako ktk hiyo paragraph ya mwisho ktk post yako,hivi mkuu kutokana na swali lako hilo unategemea nikujibu nini nikiwa kama muumini Mkristo?Tuishie hapa mkuu!

Alamsiki!!!
Kama hujui la kujibu basi huwezi kuelewa kwa nini nimeuliza.

Nakutakia usiku mwema tulivu wewe na familia yako Mungu awafunike kwa upendo wake.
 
Kuna dressing code ukishakua Kiongozi ona wenzie viongozi walivyovaa. Hata ukiingia ofisi za serikali Kuna tangazo la namna ya kuvaa. Kwa kanisa au nyumba za ibada sio zote Wana andika ila waumini wanakuja wanaojielewa aisee
Ndo mana na mimi nikaandika kwa niaba ya mtoa mada kwamba suala la maadili lisiangaliwe katika nyumba za ibada tu bali hata katika jamii tunayoishi.

Sikuwa na maana ya kumtetea makonda kwa alicbovaa lakini maana yangu ni kuwa kama kuna mavazi yanakemewa kuvaa kanisani baspi pia yakemewe kuvaa nje ya kanisa.

Kama kuvaa suruali mwanamke kanisahi anakemewa basi pia akemewe na nje ya kanisa sio kanisani peke yake.

Kama mwanaume kuvaa suruali ya kubana inakemewa kanisani basi ikemewe na njee ya kanisa pia kwa sababu sio kimbele na maadili bali ni kinyume na maadili.

Sina maana ya kumtetea bwana makonda.
Kwa sababu tukiwaacha wavae nje ya kanisa matokeo yake wanaingia nayo ndani kwa kuamini Mungu wa nje ya kanisa ni huyo huyo wa ndani ya kanisa..
 
Yeye kaenda msibani hajaenda kwenye maonyeshow..mpo
 
Back
Top Bottom