Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Ni kweli asisumbuliwe maana hata msikitini huwa mnagonoka bila nguo ya ndani na mnyaazi hawafanyi lolote!Mbona yesu ana hadhi lakini nyie mnatuaminisha kua alisulubiwa kavaa nepi, ilikuaje mungu akaruhusu hili.
Kuna tukio zito kama lile la msalabani.
Kama makonda aliweza kuongea na mengi akiwa hai kavaaa jeans akifa ndo aonyeshe doublestandard.
Kanisani hakuna vazi rasmi ndo maana wadada wanaenda wamevaa vimini, na huwa hawakemewi.
Msimuandame makonda kwa issue ambaza ni desturi.
Makonda ni Genius. Hata kauli zake inabidi umsikilize ukiwa na positive mind ndo utamuelewa.