Vazi la Makonda lazua mjadala hapa Moshi

 
dress the way you want to be addressed
Kila sehemu ina utaratibu wake, kwenye ofisi za umma wanaita dressing code hivyo hivyo kanisani zipo pia hata kwa wazungu zipo pamoja na utalii unaofanyika kwa mfano St Peters square Vatican ukija uwe mwafrika au mzungu umevalia kihuni kihuni unachagua moja aidha urudie mlangoni au upewe mkanzu uuvae uingie. Kila sehemu ina taratibu na heahima zake
 
Akili zangu zinanituma yupo kikazi huko, kiutekaji au hata kupiga mtu risasi. Bashite anajipa chuki kubwa kwa CHADEMA, ili kumfuruhisha Magufuli.
Mh, Mbowe na Viongozi wote wa CHADEMA kuweni macho na nyendo za Bashite huko. Mungu ibariki Tanganyika.
This deserves follow-up. Bashite ni muuaji.
 
I hope umeelewa nilichomaanisha
 
Mapigo ya hivyo alikuaga anayaskia jamani...ni zamu yake muacheni
 
Tena afadhali angevaa hivo juzi kule karimjee. Vazi alilovaa pichani si vazi la heshima kanisani!
Hakuna mkuu wa wilaya/mkoa yeyote amngeweza kuvaa vile achilia mbali hata mwananchi wa kawaida lazima ujitafakari lakini yeye katinga hivyo hivyo! Duuuh kweli akili ni Mali
 
Marehemu Shabaan Robert aliwahi kuandika ktk riwaya zake hivi, "Mwenyezi Mungu akitaka kumwangamiza mchwa humwotesha mabawa na kumfanya kumbikumbi" mwisho wa kunukuu.
 
Elimu,elimu, elimu......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…