Unajua jeans aliyovaaa bashite leoo????? Eti weee bwegee...Na hilo ndo lengo la swali langu.
Sijui kwa sababu kafa Bwana mengi ndio maana isifae kuvaa jeans.
Ila siku za kawaida watu wanaenda kumuabudu Mungu kanisani na majeans yanavaliwa hayakatazwi.
Ina maana mengi ni Mkubwa kuliko Mungu wa siku za kawaida za ibada pale kanisani kiasi kwamba isifae kuvaa jeans kwenye msiba wake?
Hata hivyo bado ni udhaifu wa hoja tu kwa upande wako.Kumbe uelewa wako mdogo sanaa etii eehe..! ndo maana statement ya pili nimeondoa suala la Msiba labda utaelewaa.. slow learner[emoji22][emoji22][emoji22][emoji119][emoji119]
Suala bado liko pale pale.Unajua jeans aliyovaaa bashite leoo????? Eti weee bwegee...
Wee jamaa hujielewii kabisaaa... Ni mpumbavuu! Kama hujui suala la mipaka ya mavazi rudi la saba b... shwain kabisaaa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]Hata hivyo bado ni udhaifu wa hoja tu kwa upande wako.
Kwani huyo Mungu anapatikana kanisani tu ambako ukienda na jeans anachukia alafu ukitoka hakuoni tena waweza vaa hata bikini huki nje?
Na hilo ndo lengo la swali langu.
Sijui kwa sababu kafa Bwana mengi ndio maana isifae kuvaa jeans.
Ila siku za kawaida watu wanaenda kumuabudu Mungu kanisani na majeans yanavaliwa hayakatazwi.
Ina maana mengi ni Mkubwa kuliko Mungu wa siku za kawaida za ibada pale kanisani kiasi kwamba isifae kuvaa jeans kwenye msiba wake?
Ushamba mzigo.Leo Mkuu wa Mkoa wa Dar ameingia ibadani katika kanisa kuu la KKKT hapa Moshi akiwa amevaa Suruali iliyozua minong'ono kuwa ya KIHUNI.
Baadhi ya Waumini waliopo hapa Ibadani wamesikika wakiuliza je angekufa babake angekwenda na vazi kama hilo?
Wengine walisikika wakisema vazi hilo hata katika mavazi yanayotakiwa kwenye Ofisi za Umma hayatakiwi iweje avae kanisani?
Waumini wengi wamesikika wakihoji kiwango cha nidhamu alichoonyesha Mkuu huyu kupitia vazi lake.View attachment 1092613
Kwahili nitamtetea mbona naona amevaa kawaida au mpaka avae sutiKwani kanisani kunatakiwa kuvaliwa mavazi gani?
Sengerema sana lile bwabwaYani libashite lilitaka kugoma kuenda mbele
Chuki tu ndugu zimetawala hawa binadamuKwani kanisani kunatakiwa kuvaliwa mavazi gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani uko serious unauliza swali la kijinga hivii???? Wewe msikitini unaendaga na boksa kama unavyoshinda chumbani kwako???Suala bado liko pale pale.
Kwa nini iwe haramu yeye kuvaa kanisani na nje ya kanisa iwe halali kuvaa?
Kwahiyo wazungu ndo wa kuwekewa mfano??Kinachonishangaza vazi kama hilo likivaliwa na wale wazungu wanaofadhili haya makanisani , huwezi kuona mtu anapanua bakuri lake kupiga kelele.
Tuache dabo standard kama tunavyomtaka baba Jeska aache dabo standard.
Kuweni na akiba ya maneno kule Kenya ku a Sonko wala hamsemiHakuna mkuu wa wilaya/mkoa yeyote amngeweza kuvaa vile achilia mbali hata mwananchi wa kawaida lazima ujitafakari lakini yeye katinga hivyo hivyo! Duuuh kweli akili ni Mali
Yaani mimi sielewi,huyu mhuni mshamba anakuwaje RC wa dsm??
Hapa inabidi tutumie hadi sayansi kungamua hili
Anaenda akiwa kavaa bikini aliyinunuliwa na basha wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani uko serious unauliza swali la kijinga hivii???? Wewe msikitini unaendaga na boksa kama unavyoshinda chumbani kwako???
Ndege wa aina moja huruka pamoja. Vipi mkeo ushampeleka China wakusaidie kumpandikiza mbegu?Kwahili nitamtetea mbona naona amevaa kawaida au mpaka avae suti
Aliyekwambia haikemewi siku za kawaida nani?wewe unasali Kanisani wewe ili uyasikie yakikemewa au kwa sababu umesikia leo kwenye vyombo vya habari ndo unakaza shingo hapa kung'ang'ana haikemewi siku za kawaida?Mbona hatuoni yakikemewa katika siku za kawaida?
Kwanini ikemewe msibani alafu siku za kawaida isikemewe?
Au Mungu yupo msibani na siku za kawaida kanisani hayupo?