Vera Sidika na Hamisa Mobetto hamjui kuimba fanyeni kitu kingine!!!

Wote sana miaka 20!!!!?? Ama sijaona vizuri?
 
Hamisa anajua kuimba nini mtu mwenyewe mdomo umeingia ndani .......... By the way sio kuimba tu hajui hata Uzuri hana zaidi ya kutegemea Make up na kujibinua kiuno tu .
 
Mimi huwa najiuliza bado mtu aliye washauri Hamisa na Vera kuwa wanajua kuimba hakika watanzania sisi ni wanafiki sana tena sana yani mtu una mdanganya mtu kama Hamisa au Vera kuimba kwakweli ni dhambi kabisa iliyofanyika....
Ukitaka kujua wabongo ni wanafiki mtu Kama barnnaba ambaye kaso ea kabisa mziki anamsifia kabisa.
Ukisikiliza hamisa ni Kama unamsikiliza mtu yoyote aliimba wakati yupo bafuni anaoga.
Kuanzia maproducer Hadi anaeshoot video wote ni wanafiki
 
Yule vera sidika mashabiki anao aendelee tu kuimba, maana ule msambwanda ulimpa mashabiki kabla hata ya kuanza kuimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…