Vera Sidika na Hamisa Mobetto hamjui kuimba fanyeni kitu kingine!!!

Kwa mfano Hamisa ana mkaribia msanii gani kwenye uimbaji?hahahahah
Kumaribia kwenye kigezo gani? yeye ni peculiar , that is the beauty of it! Hataki kijilinganisha na mtu. Wale wanaotaka kumuiga mtu ndio hao wanaodondoka vibaya sana unaytakiwa uwe wewe!
 
Its nit about shabiki. Sikiliza maudhui au ninyi mnapenda nyimbo kama Nyegezi hebu niambie maudhuli ya Nyegezi lkinganisha na Madamme Hero na Tunaendana?!???!?!?!??!
Maudhuii???kwamba kaimba nini sasa!!
Single mazant' you?
 

Mi naona gauni tu la Cinderella linapepea tunaendana tunaendana
 
Amber na gigy wanajua hao hata wakitungiwa watatoa vitu fire, ila hamisa hata atungiwe hiyo sauti yake sio ya kuimba ana kisauti kizuri cha kudangia
 
Hamisa anapewa kichwa na kina Mange na team yake kwa kutumia situation yake na Mond ila ukweli ni kwamba hajui kuimba!!Nyimbo mbayaaa sio chuki, na ni kweli afanye vingine ila sio kuimba.


Hapa ndipo alipopotea njia Hamisa kujiunga na Mange, demu aliyeshindikana kila aishipo. Hata huko Marekani watanzania wenzake wanamkimbia kwa sababu analazimisha urafiki ili ajuwe maisha ya watu kisha wakigombana aje kuwaandika mitandaoni. Haka ka Hamisa kasipo angalia kataishia pabaya muda si mrefu.
 
Mkuu Hamisa hajui kuimba na haujui kutunga wimbo
Wimbo wa madame hero alitungiwa na kijana anaitwa foby akamtafutia Hadi Melody still hakuimba vizuri
Kinachombeba kwa Sasa ni hype iliyopo na sympathy yakuonekana ni victim wa diamond na Kama unavyojua mange kawashika mazwazwa wengi wa Bongo, ni suala la muda tu maji na mafuta vitajitenga
Hii kitu ilitokea hata kwa harmorapa alivuma Hadi watu wakaanza kusema atamfunika harmonize wakati Hana talent, ni ile hype na sympathy ya kuonewa huruma na wabongo Tena baada ya Mose iyobo kumfananisha na nyani lakini muda ukaja kuamua.
Suala la hamisa ni suala la muda tu
 
Chefuuuuuu usimfananishe missa wangu na uchafu wa madale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…