Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Kwa mfano Hamisa ana mkaribia msanii gani kwenye uimbaji?hahahahahThis is your opinion, fortunately it is not a fact! Sisis tunaburudika tu na Madamme Hero na Tunaendana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mfano Hamisa ana mkaribia msanii gani kwenye uimbaji?hahahahahThis is your opinion, fortunately it is not a fact! Sisis tunaburudika tu na Madamme Hero na Tunaendana!
Kumaribia kwenye kigezo gani? yeye ni peculiar , that is the beauty of it! Hataki kijilinganisha na mtu. Wale wanaotaka kumuiga mtu ndio hao wanaodondoka vibaya sana unaytakiwa uwe wewe!Kwa mfano Hamisa ana mkaribia msanii gani kwenye uimbaji?hahahahah
HormorapaHivi hebu twambie ukweli kati ya Harmorapa na Hamisa nani anatakiwa kuendelea kuimba? hebu kuwa mkweli tukutane mbinguni
hahaha kwenye wimbo wa hamisa(watoto wetu) umependa nini?Kumaribia kwenye kigezo gani? yeye ni peculiar , that is the beauty of it! Hataki kijilinganisha na mtu. Wale wanaotaka kumuiga mtu ndio hao wanaodondoka vibaya sana unaytakiwa uwe wewe!
Hajui kuimba hana sauti ya kuimbaYule vera sidika mashabiki anao aendelee tu kuimba, maana ule msambwanda ulimpa mashabiki kabla hata ya kuanza kuimba.
Sasa umecomment nn?
Maudhuii???kwamba kaimba nini sasa!!Its nit about shabiki. Sikiliza maudhui au ninyi mnapenda nyimbo kama Nyegezi hebu niambie maudhuli ya Nyegezi lkinganisha na Madamme Hero na Tunaendana?!???!?!?!??!
hahahahaha nakuhakikishia ukiweka hapa thread ya kuwaomba watu wamchangie kati ya Hamorapa na Hamisa mmoja wao arudi studio hakika Hamorapa atarudi,,,,,,
Hamisa hajui kuimba hakuna lolote na nilimsikia mtu anasema kuwa eti ana uwezo mkubwa wa kuimba kwakweli nusu nilie kwa zile dhambi alizo zichuma jamaa kwa kusema uongo.....Hivi mule Hamisa ameimba nini zaidi ya kupanua mdomo tuu,,,,,kwanza mimi nafikiri ule sio wimbo ni hotuba maana alikuwa anaongea tuuu hahahahaha
Amber na gigy wanajua hao hata wakitungiwa watatoa vitu fire, ila hamisa hata atungiwe hiyo sauti yake sio ya kuimba ana kisauti kizuri cha kudangiaKama Hamisa hajafika level za Hamorapa hajui kuimba.....wenzie wakina gigy na Amber wamevuka na wamethibitisha kabisa wanacho kitu,.....
Hamisa hajui kuimba kabisa anacho kifanya ni kama wale watoto kwenye kipindi cha watoto wetu pale ITV kila jumamosi....hahahaha
Anamzidi Nandy 😀😀Kwa mfano Hamisa ana mkaribia msanii gani kwenye uimbaji?hahahahah
ila si anamsambwanda.Hajui kuimba hana sauti ya kuimba
Angekua nao ingekua tabu sanaila si anamsambwanda.
Wimbo wa Jojo ulikuwa mzuri sana.
Hamisa anapewa kichwa na kina Mange na team yake kwa kutumia situation yake na Mond ila ukweli ni kwamba hajui kuimba!!Nyimbo mbayaaa sio chuki, na ni kweli afanye vingine ila sio kuimba.
Mkuu Hamisa hajui kuimba na haujui kutunga wimboKama Hamisa hajafika level za Hamorapa hajui kuimba.....wenzie wakina gigy na Amber wamevuka na wamethibitisha kabisa wanacho kitu,.....
Hamisa hajui kuimba kabisa anacho kifanya ni kama wale watoto kwenye kipindi cha watoto wetu pale ITV kila jumamosi....hahahaha
Hii Dunia bila ya unafiki haikwendi
Nakazia.....Amber lulu anaimba vzr