Back N days
JF-Expert Member
- Apr 9, 2026
- 350
- 914
Anakuja kutoa mwongozo kwa faida ya memberMbona huyo Smart911 hajibu chochote?
Kinyoya hakijawahi akimaliza Hela......SEMA tu za kuchezea hazipo zipo limited na majukumu.Usiseme hatuna hela๐ ๐ sema hela zetu hatuzitumii kula mbususu๐ ๐
Ndugu hangu huyu kawekeza kwenye mbususu hasa za jf๐ sijui kama twitter, fb na huko insta na tiktok amewekeza namna hii.
Hebu anza tuone ๐ฅฐ๐คฃShesRise_1 Na sisi tuwe cc kama smart911 na mahandow๐ฅฐ
Aah!!!! Wapi kijana ... Mkali humu ni mmoja tu acha ukisingizia sukari!.Hela tunazo za pombe tu , nasio za kushusha sukari ๐
Inawezekana ni tabia ya siku nyingi alikuwa akifanya kwa siri, ila leo imetokea kupata msukumo wa kusema ukweli.But still something is not right., why did you have a gut to say that.??! Sorry haisaidii kitu, tayari una msukumo wa kuelekea huko.
.. Msukumo wa kutaka kuwalala wadada wenzio!!!
Kafupi keusi ila waja ๐คฃ๐คฃ je kama kanamtalimbo ukijumlisha na pesa ๐คฃ๐คฃhuyu smart anaplay smart kweli kweli,, kuna kipindi alipondwa Kule selfka wakamsema ni kafupi keusi ila bado anaendela kuwatafuna๐คฃ๐คฃ๐คฃ mchawi ni pesa mwanetu
Weee kipapa ni anguko kuu la mwanaume asikwambie mtu!Kinyoya hakijawahi akimaliza Hela......SEMA tu za kuchezea hazipo zipo limited na majukumu.
Mi kijana namtetea ana mbinu za uhakika maneno kidogooo vitendo unaipeleka mwenyewe.
Ndio umeanza et๐คฃLeo bwana miongozi kawa kakakuona๐๐๐
cc ShesRise_1
Hahaha,Ina maana kumbe masai dada ndio Mahondaw ?
๐คฃ๐คฃ๐คฃMwamba ni Router Kubwa.
๐คฃ๐คฃ mtu ana play smart jina linasadifu yaliyomoWeee kipapa ni anguko kuu la mwanaume asikwambie mtu!
Hata mimi namkubali, mbinu zake sidhani kama kuna Me wa jf anamfikia, atakuwa ameziweka nyingi sana.
Kingine, hamsemi mtu, aaah anakula na kunawa kimyakimya ๐ ๐
Mambo yetu watuachie wenyewe ๐คฃ๐คฃ๐คฃNdio umeanza et๐คฃ
wew na huyo ShesRise_1 havitokua na mda nasemajeeeeee Mtaachana tu๐๐๐๐Leo bwana miongozi kawa kakakuona๐๐๐
cc ShesRise_1