antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Hajafuta huo uzi, bado upo umejaa tele..Kuna uzi alifungua leo kua anavutiwa zaidi na jinsia ya KE kuliko ME
Naona kawaomba Mod's waufute coz mashambulizi yalikua makali sana!
Mbona mbona kwenye genge letu la ulevi tunachangiana pesa za kuzimua mama? Haujaipata hii.?Niko hapa nasubiri mualiko.
Bwashee acha maneno weka Bia,Mbona mbona kwenye genge letu la ulevi tunachangiana pesa za kuzimua mama? Haujaipata hii.?
Cc MahondawNakufahamu vyema ndiyo maana nimeshangaa...Imekuaje tena...
Ukiwa na stress you know where to find me...
Its okay beautiful...
😍😍😍
Hana BANDOMbona huyo Smart911 hajibu chochote?
Bwashee raha ya pombe ni kuzungusha raund😀Bwashee acha maneno weka Bia,
Hata mgeni unataka umchangishe?
Uwiiiii!!!! Sina habari kabisa,,,, natengwa sana Mimi!!!!Mbona mbona kwenye genge letu la ulevi tunachangiana pesa za kuzimua mama? Haujaipata hii.?
Nimeona reply namba 103Hana BANDO
Unaweza kuta huyo smart ni binti mmoja mrembo tu.Unaweza kukuta huyo Smart ndio Genta kwa ID nyingine,
😀😀
JF ina mambo mengi sana Mkuu,Unaweza kuta huyo smart ni binti mmoja mrembo tu.
Hahahaha bwashee, baada ya kama nusu saa ndio utathibitisha mimi ni mlevi kabisa😀 nakula vodka hapa😀
ushanisahau love 🥰😀😀Mwenyewe nishasahau jina lake 🤣
Ivi ni nani kwani🤔
Nilikusahau lovie 🥰🤣ushanisahau love 🥰😀😀
Usinisahau nita-dead mahi🤪Nilikusahau lovie 🥰🤣
Just relax bae 😍Usinisahau nita-dead mahi🤪
Halaf nimeona ume join juzi tu hapo hili sio parody kweli la mtu humu🤣🤣🤣Usinisahau nita-dead mahi🤪