'Vestiges' kwenye miili ya wanyama, ushahidi tosha kwamba hatukuumbwa, bali tuli-'evolve' kuwa tulivyo

We dogo tatizo Ni mkorofi, mweleweshe my vizuri na sio kumtukana. Tunatofautiana uelewa alafu unachoamini wewe usilazimishe wengine wakiamini. Mwingine anaweza tu kupinga pasina sababu ya mcngi ilimradi tu apinge. Chukuliana nao coz faida ipo kwa wafatiliaji ndio wanang'amua uongo na ukweli.
Tofautisha ‘Observable, evidence based facts’ na ‘Imani’. Hapa sileti imani, naleta taarifa zenye ushahidi unaochunguzika na kudhibitishika.
 
Hiyo observable evidence wewe umeijua lkn mwingine haijui itahitaji akuamini. Vile vile sio kwamba watu wanayaelewa saana hayo masayansi coz Yana makosa mengi mnoo! Zamani sayansi ilidai jua linazunguka dunia leo hii tumegundua tulidanganywa na kesho kutwa tutaambiwa sisi ndo tunajizungusha kwenye muhimili wetu. Shauri yako!
 
Vestiges ni viungo katika miili ya wanyama ambavyo vinaweza visiwe na kazi katika baadhi ya wanyama lakini vinakuwa na muhimu na ni vya lazima katika miili ya wanyama wengine.

Mfano 'tail bone' / mfupa wa mkia hauna umuhimu wowote katika mwili wa binadamu maana hatuna mikia sisi, lakini tunao mfupa huo; mfupa huo ni lazima na ni muhimu sana kwa wanyama wenye mikia kama ngedere nk. Hii inashiria kwamba hapo awali binadamu tulikuwa ni kiumbe tofauti kabisa kilichokuwa na mkia ila kwa sasa kiungo hicho kimepotea sababu matumizi yake hayapo tena. (If you don't use it, loose it), hii ndio principle inayotumika katika evolution.

Vestiges zipo nyingi sana katika animal kingdom, mfano nyangumi ana mifupa ya miguu iliyojificha ndani japo hana miguu,hii inashiria kwamba hapo awali alikuwa ni mnyama wa ardhini aliyetembea, na tena bado anazaa na kunyonyesha kama wanyama wengine wa ardhini na sio kutaga mayai kama wafanyavyo samaki.
Vestiges ni nyingi sana, tusaidiane kuziorodhesha na kuzichambua vilivyo na kwa undani kabisa.

Sasa binadamu mwenye akili timamu anaweza weza vipi kuamini kwamba binadamu aliumbwa kama alivyo leo hii na mwonekano wake huu wa sasa, yaani hakubadilika kutoka aina moja ya muonekano hadi kufikia huu muonekano wa sasa. Huwa mnatumia mbinu gani kujitoa akili kwa kiwango hicho?! Mbona mi nashindwa kabisa??!!!

=============================
Mfano mwingine ni kifuko cha appendix kwenye utumbo wa binadamu, kwetu hakina kazi lakini kwa wanyama wanaokula mimea huwa wanakihitaji sana hicho kifuko na kinakuwa ni kikubwa sana kwao na huwasaidia kwenye kusaga chakula, hii inaashiria kwamba tulikuwa mnyama mmoja ila kila mmoja akabadilika kulingana na mazingira yake..
=============================

Mfano mwingine ni 'vitendea kazi' vya uzazi kwa mijusi wanaozaa kwa kuji-clone, yaani hawa mijusi huwa wanataga yai ambalo ni clone yao wenyewe na hivyo hawaitaji kujaamiiana ili kuzaa. Sasa kwakuwa bado wana hivi viungo ambavyo vimebaki huwa wanavitumia kama kujiburudisha tu, lakini havina kazi kwa sasa,japo hapo nyuma vilijuwa na kazi.
=============================

=================================
Update: 27/08/2021
Mifupa ya nyangumi mwenye miguu ‘dating millions of years ago’ yapatikana.

View attachment 1912340
_______________________________
WaChina ni WaAfrika waliohama na kubadilika kutokana na mazingira

Ah! Hebu tuache bana!! Kama tulikuwa na mikia, nini kitafuata kwenye hako kakipande unakokasema, je nako kakiisha tunabaki na nini?
 
Hakuna kulichoumbwa, bali viumbe vipo kutokana na asili, mfano: chukua samaki muweke kwenye joto aoze, kuna viumbe vitajitokeza kama funza na kukua; hivyo hivyo ata uwepo wa viumbe wengine umetokana na mazingira.​
 
Hiyo observable evidence wewe umeijua lkn mwingine haijui itahitaji akuamini. Vile vile sio kwamba watu wanayaelewa saana hayo masayansi coz Yana makosa mengi mnoo! Zamani sayansi ilidai jua linazunguka dunia leo hii tumegundua tulidanganywa na kesho kutwa tutaambiwa sisi ndo tunajizungusha kwenye muhimili wetu. Shauri yako!
Kulikuwa na observable evidence ipi enzi hizo ya kwammba jua linazunguka dunia, zaidi ya imani?

Mimi siongelei imani..
 
Unapoongelea vestiges usidhani kwamba watu hawakuelewi, hasha! Isipokuwa pale wakati wa kuunganisha dot ndio shida kwamba hiyo nature inaakili kiasi gani. Na hapa ndipo dhana ya uumbaji inapojipatia wafuasi lukuki.

Hii universe Ni kubwa mno kutokana na udogo wetu lkn inawezekana ikawa ndogo mno kutokana na ukubwa wa alieianzisha na Tena inawezekana hata universe yote ikawa imo ndani ya tumbo la kiumbe ambaye naye anaishi. Chukulia wadudu wa malaria wanavyoishi ndani ya mwili wa mwanadamu. Unafikiri wanaweza kukuamini kwamba wamo ndani yako?

Usichanganyikiwe na vijiashiria vidogo vidogo hivyo Kuna ulimwengu mpana ambao hatutaweza kuujua au hata kuuhisi maisha yetu yote. Vinginevyo labda Kama ulimwengu ungekuwa na mwisho.
 
Nikutolee mfano, chenye akili si nature, hapo wenye akili ni majangili wanaofanya selective killings
 
Ng'ombe wanachinjwa kila siku kuliko hata hao tembo. Wangekuwa wameshafutika.

Iko hivi, ingetokea mfano tunaishi then muziki tukaukuta upo kwa mpangilio wake huu pamoja na mdundo na sauti zake nzuri kabisa. Ni mwendawazimu pekee ambaye angeamini kwamba muziki umetokea bahati nasibu kutokana na mpangilio wenye mantiki.
Vivyohivyo uhai, Ni mpangilio Tata na wenye kuleta mantiki inayokidhi mahitaji yote ya maisha na ziada zake ambazo Ni hizo vestiges. Ni mwendawazimu pekee anayeweza kukiri kuwa uhai umetokea bahati nasibu.
Hata nyusi zako ambazo unaona hazina kazi zinaweza kukutolea ushahidi siku ya mwisho na ukapatikana na hatia.
 
Ng’ombe wanafugwa, wale wenye favourable traits ndio wanapandikizwa mbegu zao na kuzalishwa kwa wingi zaidi (Selective breeding). Tembo hawafugwi.

Iko hivi, evoulution ni kama chujio, whereby all possible musical combinations are tried out, ila ile tu iliyopleasant kwenye masikio ndio inabakishwa…, musical sounds zingine zote zisizovutia na kukidhi mahitaji hufutwa…, na hapa msikilizaji wa muziki ni ‘nature’, nature ni nini? Angalia huo mfano kujua nature ni nini…

Mfano, wewe unashingo fupi, wengine wana shingo ndefu kama Twiga, halafu chakula (majani) yapo kwenye matawi ya juu kabisa.., sasa nyie wenye vinasaba vya shingo fupi mtakufa na kufutika.., wenye shingo ndefu watabaki.., aliyebakisha wenye shingo ndefu na kuondoa wenye shingo fupi ndio nature sasa..

Labda nikurahisishie ili utulie. Tuseme ‘Nature’ hufanya ‘uumbaji’ kwa kutumia ‘evolution’ kama zana ya kazi. Hapo vipi? Na uumbaji huu (evolutionary processes) unaendelea kufanyika kwa kuviboresha viumbe ili kukabiliana na mazingira maoya yanayobadilika kila siku..

Wewe jiulize , kama si evolution, entity yenye akili timamu inaweza ikaumba samaki mwenye vishimo vya macho kwenye fuvu (eye sockets) ilihali samaki hao hawana macho? Just think critically without bias, kuwa mkweli tu na nafsi yako..
 
Kuumbwa kwa samaki wenye vishimo inawezekana kabisa inategemea nakshi za muumbaji endapo samaki huyo ataweza kumudu mazingira. Kuna hata viumbe ambao hawavutii kuwaangalia lkn wapo tunawajua.

Sijazungumzia muziki kwa mantiki ya uchaguzi wa sauti nzuri hapana. Ni muziki kwa ukamilifu wake yaani tayari uchaguzi wa sauti umeshafanyika. Mfano wimbo wa lackdube tuchukulie ule remember me. Then wanadamu wote wamekufa Kisha wanajitokeza kwa bahati wanadamu na maisha yanaendelea kwa kuusikiliza huo wimbo. Je unafikiri watu hao wanaweza kudhani wimbo huo umetokea wenyewe pasipo kuundwa na kupangiliwa?

Nilikueleza mwanzo kwamba haiwezekani kivyovyote kwa uhai kujitokeza kwa mpangilio wa matukio yenye mantiki kiasi hiki. Tungeweza tu kuamini dhana hii endapo ishu ya imani ingelikuwa haijatambulika. Na hata Kama imani isingekuwapo bado wanadamu wangekubali evolution kishingo upande.
 
Sasa uweke vishimo vya macho kwansamaki ambaye haba macho? Huo utakuwa ni utaahira. Ila kwa evolution it make perfect sense, kwamba hapo awali hao samaki walikuwa na macho, ila naada ya mazingira yao kubadilika ambapo walianza kuishi chini kabisa ambako hakuna mwanga, macho yakapoteza umuhimu wake na masikio yakaongezeka umuhimu, hivyo mutant aliyezaliwa kipofu akawa ana tumia nguvu nyingi zaidi kusikiliza badala ya kuona, na akawa ana mafanikio zaidi kusurvive, na kizazi chake cha vipofu kikastawi huko.., ila vile vishimo bado vipo..
 
Leta kuonyesha kwamba kuna kukatiri
Hizo ni porojo unaleta za kukariri ...Hauna ushahidi unaokoteza huko. Tuko bilion 8 kama sijakosea .

Kama binadamu wote wangekuwa wame'revolve basi huo mfumo ungeendelea ....Kama unaamini leta hata jamii moja ya binadamu ambayo ina muendelezo wa revolve ..

Ukishindwa kakojoe ulale?
 
binadamu wote tumetokea Afrika mashariki kwa mujibu wa ‘World genomic mapping’, na wote tulikuwa weusi…, sasa hivi tukoje? Wote ni weusi?
 
Back
Top Bottom